Uhuru katika Mahusiano?

Acha ujinga, huyo jamaa ana kupenda sema ule muda wa kuchat chat kijinga hana kabisa.
Huyo ni pacha wangu kabisaaaa...
I guess it's true....

Doooh maybe I want constant attention.
 
Labda inawezekana hupendwi yeye ana mtu wake kwaiyo unavyo mpigia aidha wanakuwa pamoja kwaiyo anaona una muaribia! Jambo lingne baadh ya sisi wanaume hatu pend kupigiwa sim kila wakat halaf hatupendi kuonyeshwa tunapendwa sanaa tunaona kelo na usumbufu.
 
Hapo huna chako wewe umempenda yeye haja kupenda halaf na nyinyi wanawake mkipenda mnasumbua sanaaaa yani mnapiga sim mpaka kero
 
Hapo huna chako wewe umempenda yeye haja kupenda halaf na nyinyi wanawake mkipenda mnasumbua sanaaaa yani mnapiga sim mpaka kero
....Kweli simu Kuna muda huzidi
 
....Kweli simu Kuna muda huzidi
Mimi naweza nisimpigie sim mpenz wangu hata siku mbili lakin nakuwa nampenda na nakuwa sina mpenz mwingne zaid yke! kwaiyo inategemea huyo mtu wako yupo kwenye situation gani na sisi wanaume kusema Jambo linatukosesha Aman kwa wapenz wetu ningum sana
 
True .. nimekuelewa sana jaap
 
ukisikia kauli km hizo, jiandae kisaikojolojia na yajayo ambayo hayafurahishi.
Jamaa angu mmoja yeye hupenda kusema Yajayo yanayo furahisha ni ya Vodacom tu mengine yanasikitisha na kuogofya Sana [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Ukitaka uhuru kuwa single, ukishaingia kwenye mahusiano unakuwa umeuza uhuru.

Huwezi kuwa kwenye mahusiano na ukawa huru, huwa haviendi pamoja hivi vitu.
Huu ndio ukweli halisi!
 
Bado uko naye tu?
 
Haya maneno mawili mwisho ndo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…