Mia ya noti
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 866
- 1,240
Mkuu ina maana waangalia mpira hawapaswi kupendwa? Pia asilimia kubwa ya watanzania ni washabiki wa mpira sasa kweli binti akichagua kwa kigezo hicho si anapunguza Sana uwezekano wa kupata mwenza?Ila watoto wa kike kweli Mwalimu wenu kipofu, hivi inakuwaje kwanza unakuwa na mahusiano na kijana mjangalia Mpira ?
Namini nimekubali..Sipendwi [emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu ina maana waangalia mpira hawapaswi kupendwa? Pia asilimia kubwa ya watanzania ni washabiki wa mpira sasa kweli binti akichagua kwa kigezo hicho si anapunguza Sana uwezekano wa kupata mwenza?
Halafu issue ni jamaa hampendi tu hampendi huyu dada
Uko conservative Sana mkuu
Kweli tafuta mlango wa kutokea tuNamini nimekubali..Sipendwi [emoji3][emoji3][emoji3]
Maana Mapenzi yalomurua hayajawai kuwa hivi ....
Kucheeka Sana kilio kipo karibu...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. Doooh
Ila sitoacha kuwa muaminifu na kufanya yaliyo mema coz of this.
Sometimes we win.. sometimes we loose... But our faith remains the same
Hakuna mpenzi hapo, umekutana na watu wenye style ya hit and run , poleLabda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..
Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...
Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...
ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...
Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....
Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Mkuu mbona kama umefurahia SanaHahahah jamaa yuko vizuri sana 😂😂😂 hadi anaburudisha. Hivi ndio wanawake janja janja mnavyotakiwa muendeshwe! Maana wengine ulikuwa unawaona mazoba ila kwa huyu baharia hutachomoka hapo. Sijui kwanini huwa mnapendaga abusers nyie watu ila polite guys kwenu ni mazoba.
Tafakari kwa makini.Mkuu ina maana waangalia mpira hawapaswi kupendwa? Pia asilimia kubwa ya watanzania ni washabiki wa mpira sasa kweli binti akichagua kwa kigezo hicho si anapunguza Sana uwezekano wa kupata mwenza?
Halafu issue ni jamaa hampendi tu hampendi huyu dada
Uko conservative Sana mkuu
Ndo hivyoooWanasema kama hakuna waaminifu, kuwa mwaminifu. Kuna wengine wakishaumizwa ndio wanaona ni nafasi ya kujiachia kufanya upuuzi wakidhani wanakomoa walipoumizwa kumbe sio.
Muombe Mungu utulivu ujiponye maumivu taratibu yataisha na nadhani hakuna haja ya kumuaga kuanza kumwambia sijui unaona muachane tu kwa sababu ya 1,2,3. Akiamua kukuchezea atakuwin kwa kuwa anajua udhaifu wako cha kufanya punguza kumtafuta ukimya utakusaidia sana na uwe busy na mambo yako utamsahau kabisa. Ila umependa sana ulizama mazima kwa mtu ambae hakustahili kabisa.
Duh basi imani yangu ndogo huwa naskia tu sijawahi omba sababu huwa siaminiKipo...mimi naamini kabisa
Itakuwa tayari unafikiri angegaragara hiviKwani ameshang'ata?
Haya chagua mlango wa kutokea sasaNa niwe mkweli ..nimeomba Mungu Sana juu ya hili...niweze kuona ukweli...ila Mimi nikiona redflags but sikutaka kukubaliana na Hali...
Pole afadhali ungeendelea na yule aliyekua anakutaka umfulie Nguo huku hajakuoa alikua anatengeneza mazingira ya ww kua Mke bora kwake, sasa hapo umekutana na wale wanaojiita mabahariaAlhamdulilah...
Pole mkuuNamimi nimesikitika Mkuu extrovet kufurahia msiba Wangu..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Noma sana
Mimi. Naamini Sana katika nguvu ambayo ilinileta Duniani Wala sikuomba... Ikanifanya nikawa nilivyo hii leo..Sio kwa ujanja wangu... Ni rehema TU Za MunguDuh basi imani yangu ndogo huwa naskia tu sijawahi omba sababu huwa siamini
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Yule wakufulia nguo jamani mnapenda Sana kunikumbusha...Pole afadhali ungeendelea na yule aliyekua anakutaka umfulie Nguo huku hajakuoa alikua anatengeneza mazingira ya ww kua Mke bora kwake, sasa hapo umekutana na wale wanaojiita mabaharia
Mkuu muhuni ni muhuni tu hata kama haangalii mpiraTafakari kwa makini.