Uhuru katika Mahusiano?

Sasa hapo ndo kosa kulala na feeling sorry for yourself....
Am not feeling sorry for my self.. Am just Sad. Today I'll rest.. tomorrow inshaAllah.. I'll continue with whatever that I Do
 
Kwanza nikuulize. Je unaamini mungu? Na je unaamini nguvu za maombie? Basi nakushauri anza maombi ili upewe muongozo na mungu kama kweli yy ndie ridhiki yako ili usije kupoteza muda kwa mtu hana timu yaw
Hivi hiki kitu kiko kweli?
 
Ohoo! Yajayo hayafurahishi...nilikwambia njoo kwangu ukanibishia
 
Sure mkuu
Inauma mno kupenda usipopendwa ila ndiyo hakuna namna zaidi ya kujiengua tu

Habari ya mwaka mpya nzuri tu sijui kwako
Ila dah nimekumbuka leo nimekutana na comment yako mahali nimecheka
[emoji28] Bila shaka ni ule wa wapenzi ku share mswaki.. Danh! Dunia ina mambo kweli mka share kitu cha sh. 500 as if gharama za kukinunua zimekua kubwa.

Inapendeza kama mwaka mpya upo njema.. All the best to you.
 
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..

Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?

Kwakweli nishaurini sielewi
Maana yake Upendo wake kwako umepungua sana sana..... Na si ajabu umekuwa replaced sehemu nyingine. Sauti yako tuu ni kama usumbufu/kero katika masikio yake. Pole Dear.
 
Life is not fair kabisa, kuna muda unaamua kutulia na kua serious katika mahusiano yako, unaacha uchafu wote unakua clean kabisa.
Unaamua hadi kuachana na mambo ya michepuko mwisho wa siku kumbe wewe ndio mchepuko wenyewe.. [emoji25][emoji29]

[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Maana yake Upendo wake kwako umepungua sana sana..... Na si ajabu umekuwa replaced sehemu nyingine. Sauti yako tuu ni kama usumbufu katka masikio yake. Pole Dear.
It's true
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. Doooh
Ila sitoacha kuwa muaminifu na kufanya yaliyo mema coz of this.
Sometimes we win.. sometimes we loose... But our faith remains the same
 
[emoji28] Bila shaka ni ule wa wapenzi ku share mswaki.. Danh! Dunia ina mambo kweli mka share kitu cha sh. 500 as if gharama za kukinunua zimekua kubwa.

Inapendeza kama mwaka mpya upo njema.. All the best to you.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Hivi Kuna haja gani ya kushare Mswaki... .. yaani why
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…