Uhuru Kamili wa Taifa la Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhuru Kamili wa Taifa la Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kichuguu, Oct 24, 2010.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Baada ya kupatikana uhuru kutoka mikononi mwa waingereza takribani miaka hamsini iliyopita, watanzania wengi hawajawahi kujisikia wako huru. Walibadilisha wakandimizaji kutoka wazungu na kuwa na wakandamizaji waswahili wenzetu. Katiba ikawa inawapa watawala wetu mamlaka ya ajabu sana kiasi kuwa ukishindana nao hata kwenye mapenzi ya kimwili unaweza kujikuta pabaya sana.


  Uhuru kamili unakuja sasa.


  Tuna wakati wa kuchagua ama atuendelee na upuuzi ule u7le au tutafute utaratibu mpya. Utaratibu mpya ndio uhuru wetu.
   
 2. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Stop dreaming, dude!
  You gonna have to deal with JK over the next 5 years!
  If you can't then I suggest you buy a lot of Kool Aid and drink it everytime you get annoyed to see JK on tv:frusty:
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Sina tatizo na lugha ya kiingereza lakini nashangaa kwa nini kila siku unajibu watu kwa kiingereza ambapo wao wameandika kwa kiswahili. Una tatizo na lugha ya kiswahili? Kama ni hivyo, kwa nini basi? Ningependa kurumbana kwa kiingereza nigeweka mada ya kiingereza. Ujinga huu wa wahindi kujifanya kuwa ni watanzania wa daraja la juu wasioweza kuongea kiswahili unafikia mwisho wake sasa.
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  lazima wampigie debe JK kwani ndio anawaruhusu kuishi kiujanja ujanja na kufanya ikulu ni pango la wanyanganyi, mwisho wao upo karibu 31-oct
   
 5. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mara zote historia imeonyesha hivyo. Lazima patokee vipindi amabavyo wakandamizwaji wanaweza kupata upenyo na kuchukua fursa na kupata uhuru wao ulioporwa..na hakika wakati ndio huu..Na kwakweli dalili ni njema.!

   
 6. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  How dare you prescribe ... "A loot of Kool Aid" ... to your client who is troubled with annoyance ...as you put it! ... you diagnose somone as dreaming, in a state of annoyance... and prescribe ..Kool Aid? That is what you do with your life eh?... A lot of Koo Aid! Do you consider .. Kikwete as your feeble Kool Aid? ...That is a corruption and evil!!

  Why not try Tough constructive Love... Of Dr Slaa... do what must be done for the good of a country... no Kooling Aids...Cause that is a corruption coming to an end soon ... are you protecting smthing like KAGODA..etc ..No no.. you better be prepared ..its coming to an end ...and it can be real bitter if you wont cooparate ... Yes no Kooling!
   
Loading...