RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,877
- 5,444
Hello JF Tech
Mi huwa Natumia Mara Nyingi Uhuru Internet bila Kikomo.. But After Some MBs huwa Speed Inashuka. ingaw Siyo sana But Inashuka Tofauti na Mwanzo..
Sasa Nataka Kununua Kifurushi cha Mwezi je Kati ya Mpango Mzima na Uhuru Internet kipi ni. kifurushi kinachokupa Speed Nzuri bila Matatizo matatizo je Speed ya Uhuru unayopata Ndo Ipo Kwenye Mpango Mzima. Au na Yenyewe inapungua.. Kw Waliowahi Tumia. mpango Mzima Please naombeni Mawazo. Yenu
Thanks