mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,455
- 36,446
Mama Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
Serikali yetu imefanya kazi kubwa sana kujenga umoja na kudumisha amani na ustawi tulio nao chini ya misingi ya uhuru na haki na hii inatusaidia sana katika jitihada za kukuza uchumi wa taifa letu. Tusisahau kwamba hakuna maendeleleo bila amani na tumshukuru Mungu kwa amani tuliyonayo🙏
Mungu ibariki Tanzania