Leo asubuhi hii mwanangu akiwa anachezea remote ya radio bahati mbaya akafungulia Uhuru FM.
Nimesoma sana gia za kuingilia za watu mbalimbali wiki hii.. this one will be the best of the best.. !!
Kuwa wazi mkuu, sijakuelewa
All the years Mwanakijiji amekuwa mkosoaji wa CCM na jk wake si kwa sababu haipendi la hasha.Mkjj,
Are you serious?...au umeibiwa p/word yako!:A S 39:....i ddnt xpect this from especially you!
BTW, hukumu yao hawa ccm iko around the corner,...wanatapatapa, and they are finally doomed!
mwanao kuchezea remot,
Nimesoma sana gia za kuingilia za watu mbalimbali wiki hii.. this one will be the best of the best.. !!
Mkuu inabidi tuinyofoe madarakani ccm ndo tutakuwa tumeitendea haki tanzaniaCCM nchi hii iko juu ya sheria. Kuanzia Rais hadi tarishi ni watawala. Sisi watawaliwa tunatazamwa kama raia wa daraja la chini na tumegeuzwa kama kandambili ambazo umuhimu wake ni kuzivaa unapoingia msalani na wakishamaliza haja zao hawahitaji hata kujua walikoziacha.
Uchochezi huo ungefanywa na gazeti au hata Redio binafsi wahusika wangeshafungiwa na kuburuzwa mahakamani. Jambo hili lingeweza kukemewa vyema na Tume ya Uchaguzi lakini itakuwa vigumu kwani ni wapiga zumari wanaolipwa na mchagua wimbo.
Hukumu ya CCM ni 31 Oktoba, ikitoka ikatambike maana watanzania tumechoka na dharau zao kwetu. Waseme watakavyo lakini safari hii hawatoki na hao watangazaji wachochezi wana nafasi zao kule De Haig Uholanzi wakatolewe ushamba na Kikwete wao aliyeunda Green Guards wa kuwafyeka wapinzani mapanga. Tanzania Bila ya Kikwete,CCM, Makamba, Kinana, Msekwa na ma Green Guards inawezekana - kila mtu atimize wajibu wake 31 Oktoba.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Hapana: Mwanakijiji; ameongelea Gia Ya Kuingilia: Gurudumu ameanza ile report vizuri (according to Mkjj): Gia/Gear; how you start your story; and your audience or readers will get it and assimilate it/shauku ya kuisoma: "Leo asubuhi hii mwanangu akiwa anachezea remote ya radio----" was the best gear. Mkjj ni mwandishi; hiyo ni taluma yake-------- tumpe heshima yake kwa kusoma in between the lines----!Mkjj,
Are you serious?...au umeibiwa p/word yako!:A S 39:....i ddnt xpect this from especially you!
BTW, hukumu yao hawa ccm iko around the corner,...wanatapatapa, and they are finally doomed!