Uhuru bwana!

Uhuru bwana!

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
8,412
Reaction score
5,013
Ni Rais pekee wa Afrika mashariki ambaye hajawahi kuwa mwanajeshi, lakini kila siku anapiga mapicha akiwa kavaa sare! Sijui ana compensate ka inferiority complex mbele ya marais wenzie?
:biggrin1:


CMrBTTXWoAAJss7.jpg
 
Atakuwa alipitia JKT ya Kenya,Mbona anapiga salute vizuri tu?:mvutaji:
 
Atakuwa alipitia JKT ya Kenya,Mbona anapiga salute vizuri tu?:mvutaji:

Hata kupiga saluti mgogoro, cheki kiganja cha mkono wake wa kulia ulinganishe na wenzake....
 
Ni amri jeshi mkuu hata akivaa nguo za trafic sawa tu.
 
Back
Top Bottom