Uhuni wa ukawa huu hapa

Uhuni wa ukawa huu hapa

kalikenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Posts
1,649
Reaction score
373
Ndugu wanajf wanaoamini katika uzalendo kwa nchi yetu, ni muda muafaka wa kukataa kuburuzwa na wanasiasa uchwara walioshindwa siasa na kuamua kufanya vitendo vyenye nia ovu kwa mustakabali wa nchi yetu.

Kitendo cha hivi karibuni cha hawa wahuni kwa mwavuli wa Ukawa hakipaswi kufumbiwa macho kwa sababu zifuatazo:
1. Huo umoja ni wa kisanii kwa sababu haujasajiliwa kwa mujibu wa sheria yoyote ile.
2. Wana nia ovu kwa sababu wanaamini kuwa hata wakisababisha maafa hakuna wa kukigusa hicho kikundi kwa kuwa hakipo kisheria.
Otherwise kama kweli wangekuwa na nia nzuri wangejipambanua kupitia vyama vyao.
3. Kujipambanua kuwa wanawatetea wananchi ni unafiki uliopitiliza kwa sababu wananchi wote bado fursa yetu ya kufanya maamuzi juu ya hiyo katiba hatujaitumia na tunawasubiri bmk wamalize kazi yao ili nasi tuifanye ya kwetu.
4. Hakuna mwananchi aliyewatuma kuwatetea kwa sababu nafasi ya kufanya maamuzi bado ipo wakati wa kupiga kura ya maoni.

Ni kutokana na ukweli huo hapo juu, wazi kuwa kinachofanywa na ukawa ni uhuni na uhaini kwa kujifanya kuwa wanatetea katiba ya wananchi kumbe wanatetea matumbo yao na maslahi ya mabwano zao wanaowatumikia.
 
Ndugu wanajf wanaoamini katika uzalendo kwa nchi yetu, ni muda muafaka wa kukataa kuburuzwa na wanasiasa uchwara walioshindwa siasa na kuamua kufanya vitendo vyenye nia ovu kwa mustakabali wa nchi yetu.

Kitendo cha hivi karibuni cha hawa wahuni kwa mwavuli wa Ukawa hakipaswi kufumbiwa macho kwa sababu zifuatazo:
1. Huo umoja ni wa kisanii kwa sababu haujasajiliwa kwa mujibu wa sheria yoyote ile.
2. Wana nia ovu kwa sababu wanaamini kuwa hata wakisababisha maafa hakuna wa kukigusa hicho kikundi kwa kuwa hakipo kisheria.
Otherwise kama kweli wangekuwa na nia nzuri wangejipambanua kupitia vyama vyao.
3. Kujipambanua kuwa wanawatetea wananchi ni unafiki uliopitiliza kwa sababu wananchi wote bado fursa yetu ya kufanya maamuzi juu ya hiyo katiba hatujaitumia na tunawasubiri bmk wamalize kazi yao ili nasi tuifanye ya kwetu.
4. Hakuna mwananchi aliyewatuma kuwatetea kwa sababu nafasi ya kufanya maamuzi bado ipo wakati wa kupiga kura ya maoni.

Ni kutokana na ukweli huo hapo juu, ni wazi kuwa kinachofanywa na ukawa ni uhuni na uhaini kwa kujifanya kuwa wanatetea katiba ya wananchi kumbe wanatetea matumbo yao na maslahi ya mabwano zao wanaowatumikia.
 
Weww ndio mu.hu.ni kwa sababu unatetea ujinga.
Mbona ccm wanapobadilisha maoni ya wananchi na kubandika ya kwao bila kuwa na tume iliyokusanya maoni hayo huwaiti wahuni.
Tumia akili kufikiri na sio masab......
 
Hata kundi la 201 halijasajiliwa lakini linatajwa...au hapo unaona vipi mkuu
 
wahuni ni maccm yanayotaka kubadili maoni ya wananchi kwa ajili ya matumbo yao.
 
UKAWA ni kikundi kinachoongozwa na wwtu mataahira wa kisiasa
 
Weww ndio mu.hu.ni kwa sababu unatetea ujinga.
Mbona ccm wanapobadilisha maoni ya wananchi na kubandika ya kwao bila kuwa na tume iliyokusanya maoni hayo huwaiti wahuni.
Tumia akili kufikiri na sio masab......
CCM wamegundua kuwa walichoandika akina Warioba hakikutoka kwa wananchi. Ndo maana sasa kazi inafanyika ili tuweze kupata katiba ya wananchi
 
kwa vile wanaukawa wamefanya ivo mnaona wabaya sana,ila nyie mkifanya mnataka kuonekana wema twiga mliuza amna atua mlizo chukua,ajira akuna vijana wana angaika mtaani bila ajira tengenezeni ilo bomu siku moja lita lipuka amsemi chochote acheni unafiki kila kitu kina mwanzo na mwisho.acheni kutudanganya wananchi wa kawaida mnataka muonekane wema wakati katiba mnaitengeneza kichama ata ningekuwa mimi ningetoka
 
CCM wamegundua kuwa walichoandika akina Warioba hakikutoka kwa wananchi. Ndo maana sasa kazi inafanyika ili tuweze kupata katiba ya wananchi

We pu.ngu.ani kweli
Ccm waude tume wenyewe tena ikiwa imebeba makada wasomi wenye heshima ndani ya ccm.
Ccm hao hao wakatae maoni yaliyoratibiwa na tume hiyo hiyo eti kwa madai sio maoni halisi ya wananchi.
Ccm wanabandika maoni yao kwenye rasimu »»» hayo maoni wanayobandika wameyatoa wapi na yamekusanywa na tume ipi ?
Ccm hawaikubali rasimu iliyoratibiwa na tume ya Jaji Warioba sasa kwanini wanaendelea kukaa bungeni kujadili rasimu ambayo hawaikubali?
Nijibu Lizaboni kama unafikiri sawa sawa.
 
Last edited by a moderator:
Ni kwa nini wasingesubiri mchakato wa kutengeneza katoba ukamilike ndo wafanye hicho wakifanyacho. Hiki ni kielelezo tosha cha uhuni wao. Wanajuaje kuwa wananchi hawatapinga watapinga katiba itakayowasilishwa kwao.
 
Kwa akili ya kawaida tu, mimi nadhani hawa UKAWA kama ni kweli wangepambana kwa hoja pale bungeni na sio kukimbia, eti wanafuata wananchi kuwaeleza wakati shughuli zao zinaonekana live, na walipewa nafasi hoja za wachache. Mimi nadhani kwa vile mwishoni wananchi ndio wapiga kura, wangekataa hizo 2 na wakakubali 3. Mambo yakaenda kuliko kujidai wamekasirika wakati wametukanana. Tuombe kheri maana huu ni msiba.
 
CCM ndio wawakilishi halali wa wananchi. Wengine ni vibaraka na mawakala wa shetani

....

35ab83347e6fdc0f510f6a706700a6a8.jpg
 
Ndugu wanajf wanaoamini katika uzalendo kwa nchi yetu, ni muda muafaka wa kukataa kuburuzwa na wanasiasa uchwara walioshindwa siasa na kuamua kufanya vitendo vyenye nia ovu kwa mustakabali wa nchi yetu.

Kitendo cha hivi karibuni cha hawa wahuni kwa mwavuli wa Ukawa hakipaswi kufumbiwa macho kwa sababu zifuatazo:
1. Huo umoja ni wa kisanii kwa sababu haujasajiliwa kwa mujibu wa sheria yoyote ile.
2. Wana nia ovu kwa sababu wanaamini kuwa hata wakisababisha maafa hakuna wa kukigusa hicho kikundi kwa kuwa hakipo kisheria.
Otherwise kama kweli wangekuwa na nia nzuri wangejipambanua kupitia vyama vyao.
3. Kujipambanua kuwa wanawatetea wananchi ni unafiki uliopitiliza kwa sababu wananchi wote bado fursa yetu ya kufanya maamuzi juu ya hiyo katiba hatujaitumia na tunawasubiri bmk wamalize kazi yao ili nasi tuifanye ya kwetu.
4. Hakuna mwananchi aliyewatuma kuwatetea kwa sababu nafasi ya kufanya maamuzi bado ipo wakati wa kupiga kura ya maoni.

Ni kutokana na ukweli huo hapo juu, wazi kuwa kinachofanywa na ukawa ni uhuni na uhaini kwa kujifanya kuwa wanatetea katiba ya wananchi kumbe wanatetea matumbo yao na maslahi ya mabwano zao wanawatumikia.

Kumbe ndo maana mtu anahitaji miaka 7 kumaliza shule ya msingi. Nakuona kama wewe ni wa long hapa JF, iweje huongezi uelewa? Hapa JF kama utakuwa na sifa za uelewa ni pazuri sana kiasi kwamba unaweza ukabadili uwezo wa kufikiri kwako.

Ukitaka kuwalaani UKAWA, anza kwa maoni yako juu ya Lukuvi.
 
Ni kwa nini wasingesubiri mchakato wa kutengeneza katoba ukamilike ndo wafanye hicho wakifanyacho. Hiki ni kielelezo tosha cha uhuni wao. Wanajuaje kuwa wananchi hawatapinga watapinga katiba itakayowasilishwa kwao.

Tangu UKAWA walipoporomosha matusi mabaya sana dhidi ya Waasisi wa Taifa hili mimi sina hamu nao tena!
 
Back
Top Bottom