Uhuni wa ukawa huu hapa

Uhuni wa ukawa huu hapa

Kumbe ndo maana mtu anahitaji miaka 7 kumaliza shule ya msingi. Nakuona kama wewe ni wa long hapa JF, iweje huongezi uelewa? Hapa JF kama utakuwa na sifa za uelewa ni pazuri sana kiasi kwamba unaweza ukabadili uwezo wa kufikiri kwako.

Ukitaka kuwalaani UKAWA, anza kwa maoni yako juu ya Lukuvi.

Watu kama wewe na wengine wenye mtazamo kama wa kwako hamuamini katika uhuru wa mawazo. Kwenu uhuru wa mawazo ni kushabikia chochote hata kama upuuzi as long as umetoka kwa wapinzani. Im not the one. Uzoefu wangu JF ndo umeniwezesha kupambanua issues na sio kukariri.
 
Tangu UKAWA walipoporomosha matusi mabaya sana dhidi ya Waasisi wa Taifa hili mimi sina hamu nao tena!

Mkuu yataje hapa hayo matusi...
Maana wewe huna uwezo wa kutofautisha matusi na ukweli. Eleza ni yapi yalikuwa ni matusi??
 
Ndugu wanajf wanaoamini katika uzalendo kwa nchi yetu, ni muda muafaka wa kukataa kuburuzwa na wanasiasa uchwara walioshindwa siasa na kuamua kufanya vitendo vyenye nia ovu kwa mustakabali wa nchi yetu.

Kitendo cha hivi karibuni cha hawa wahuni kwa mwavuli wa Ukawa hakipaswi kufumbiwa macho kwa sababu zifuatazo:
1. Huo umoja ni wa kisanii kwa sababu haujasajiliwa kwa mujibu wa sheria yoyote ile.
2. Wana nia ovu kwa sababu wanaamini kuwa hata wakisababisha maafa hakuna wa kukigusa hicho kikundi kwa kuwa hakipo kisheria.
Otherwise kama kweli wangekuwa na nia nzuri wangejipambanua kupitia vyama vyao.
3. Kujipambanua kuwa wanawatetea wananchi ni unafiki uliopitiliza kwa sababu wananchi wote bado fursa yetu ya kufanya maamuzi juu ya hiyo katiba hatujaitumia na tunawasubiri bmk wamalize kazi yao ili nasi tuifanye ya kwetu.
4. Hakuna mwananchi aliyewatuma kuwatetea kwa sababu nafasi ya kufanya maamuzi bado ipo wakati wa kupiga kura ya maoni.

Ni kutokana na ukweli huo hapo juu, wazi kuwa kinachofanywa na ukawa ni uhuni na uhaini kwa kujifanya kuwa wanatetea katiba ya wananchi kumbe wanatetea matumbo yao na maslahi ya mabwano zao wanawatumikia.

unatofauti na moyes
 
Watu kama wewe na wengine wenye mtazamo kama wa kwako hamuamini katika uhuru wa mawazo. Kwenu uhuru wa mawazo ni kushabikia chochote hata kama upuuzi as long as umetoka kwa wapinzani. Im not the one. Uzoefu wangu JF ndo umeniwezesha kupambanua issues na sio kukariri.

Nakuomba tena, Toa maoni yako juu ya Lukuvi.

Kwangu mimi he was just another senior nonsense member of the bunge la katiba, with very less effective brain, unfortunately, very much appreciated by fellow CCM members and pro-CCM like you! This puts UKAWA at a higher level of thinking. A level of and at a public sense.
 
CCM ndio wawakilishi halali wa wananchi. Wengine ni vibaraka na mawakala wa shetani

weee nenda kacha... mbe vizuri umeingia humu na harufu ya ma...vi tuuuuu mwambie LUKU....V akusaidie kukucha...mbi...sha vizuri ucituleteee minuko ya ajabu hapa
 
Wananchi ndio kina nsni kama sio sisi,mmebaki ccm ccm kwani wao wanawakilisha wanyama huko bungeni.mmebakia kushadadia upuuzi unaofanywa na UKÀWA,watu washindane kwa hoja bwana
 
Ile tume ya Warioba ilikuwa na watu weledi na mkuu wa nchi aliridhia yote. Mara CCM walipoona maslahi yao yatakuwa mashakani ndani ya katiba mpya ndio wakaanza ooh Tunu ondoa, serikali tatu ondoa! Wangekuwa waungwana wangepitisha halafu tuone kura ya maoni ingepinga au vipi. Sasa kuchakachua ndani ya Bunge la Katiba haikubaliki kabisa. Big up UKAWA.

Mkuu wa nchi angefuta katiba ya Zenj hapo tungezumza. Mengi yaja mbeleni ingawa kwa sasa tunaona shwari! Serikali imeshindwa kabisa kukemea ujangili, ufisadi, halafu mnasema CCM chama bora huo ubora uko kwenye nini? Elimu imeporomoka hadi tumeanzisha div 5 wapi tunaelekea?
 
argumentum ad populum

ndugu wanajf wanaoamini katika uzalendo kwa nchi yetu, ni muda muafaka wa kukataa kuburuzwa na wanasiasa uchwara walioshindwa siasa na kuamua kufanya vitendo vyenye nia ovu kwa mustakabali wa nchi yetu.

Kitendo cha hivi karibuni cha hawa wahuni kwa mwavuli wa ukawa hakipaswi kufumbiwa macho kwa sababu zifuatazo:
1. Huo umoja ni wa kisanii kwa sababu haujasajiliwa kwa mujibu wa sheria yoyote ile.
2. Wana nia ovu kwa sababu wanaamini kuwa hata wakisababisha maafa hakuna wa kukigusa hicho kikundi kwa kuwa hakipo kisheria.
Otherwise kama kweli wangekuwa na nia nzuri wangejipambanua kupitia vyama vyao.
3. Kujipambanua kuwa wanawatetea wananchi ni unafiki uliopitiliza kwa sababu wananchi wote bado fursa yetu ya kufanya maamuzi juu ya hiyo katiba hatujaitumia na tunawasubiri bmk wamalize kazi yao ili nasi tuifanye ya kwetu.
4. Hakuna mwananchi aliyewatuma kuwatetea kwa sababu nafasi ya kufanya maamuzi bado ipo wakati wa kupiga kura ya maoni.

Ni kutokana na ukweli huo hapo juu, wazi kuwa kinachofanywa na ukawa ni uhuni na uhaini kwa kujifanya kuwa wanatetea katiba ya wananchi kumbe wanatetea matumbo yao na maslahi ya mabwano zao wanawatumikia.
 
Ukawa nimpango wa shetani hawana jpya upotoshaji na uongo nkazi ya ibilisi baba yao
 
CCM wamegundua kuwa walichoandika akina Warioba hakikutoka kwa wananchi. Ndo maana sasa kazi inafanyika ili tuweze kupata katiba ya wananchi[/QUulishaona wapi mwananchi anaomba kuongezewa kodi? Maoni ya warioba ni mzigo
 
Ndugu wanajf wanaoamini katika uzalendo kwa nchi yetu, ni muda muafaka wa kukataa kuburuzwa na wanasiasa uchwara walioshindwa siasa na kuamua kufanya vitendo vyenye nia ovu kwa mustakabali wa nchi yetu.

Kitendo cha hivi karibuni cha hawa wahuni kwa mwavuli wa Ukawa hakipaswi kufumbiwa macho kwa sababu zifuatazo:
1. Huo umoja ni wa kisanii kwa sababu haujasajiliwa kwa mujibu wa sheria yoyote ile.
2. Wana nia ovu kwa sababu wanaamini kuwa hata wakisababisha maafa hakuna wa kukigusa hicho kikundi kwa kuwa hakipo kisheria.
Otherwise kama kweli wangekuwa na nia nzuri wangejipambanua kupitia vyama vyao.
3. Kujipambanua kuwa wanawatetea wananchi ni unafiki uliopitiliza kwa sababu wananchi wote bado fursa yetu ya kufanya maamuzi juu ya hiyo katiba hatujaitumia na tunawasubiri bmk wamalize kazi yao ili nasi tuifanye ya kwetu.
4. Hakuna mwananchi aliyewatuma kuwatetea kwa sababu nafasi ya kufanya maamuzi bado ipo wakati wa kupiga kura ya maoni.

Ni kutokana na ukweli huo hapo juu, wazi kuwa kinachofanywa na ukawa ni uhuni na uhaini kwa kujifanya kuwa wanatetea katiba ya wananchi kumbe wanatetea matumbo yao na maslahi ya mabwano zao wanawatumikia.
mtoa mada kalale
 
Mwana CCM mmoja mwenye akili Deo philikunjombe wa Ludewa ameuliza, kama wenzangu mnadai takwimu za warioba ni feki mnafanya nn Dodoma? "
Sawa mungu ana mpango wake, lakini hiki chama, basi tu, tatizo ni watanzania kutokinai
 
Mbona ni rahisi sana. "Wanaandaa Katiba itakayopelekwa kwa wananchi".
 
Back
Top Bottom