- Thread starter
- #41
Hivi mara ya kwanza Mwalimu kukosolewa ni ndani ya BMK 2014?
Kukosolewa ni jambo moja na kutukanwa ni jambo jingine.
Hivi mara ya kwanza Mwalimu kukosolewa ni ndani ya BMK 2014?
Mkuu yataje hapa hayo matusi...
Maana wewe huna uwezo wa kutofautisha matusi na ukweli. Eleza ni yapi yalikuwa ni matusi??
Kama hukuyasikia kamuombe Mtei, muasisi wa Chadema akupe nakala ya matusi aliyotoa Lisu Kama yeye melaani sisi nani wa kuyakana?
wahuni ni maccm yanayotaka kubadili maoni ya wananchi kwa ajili ya matumbo yao.
Ni kwa nini wasingesubiri mchakato wa kutengeneza katoba ukamilike ndo wafanye hicho wakifanyacho. Hiki ni kielelezo tosha cha uhuni wao. Wanajuaje kuwa wananchi hawatapinga watapinga katiba itakayowasilishwa kwao.
Hii inatokana na amri ya sheria ya bunge la katiba kuwa na watu hao na si uatashi wa mtu ye yote.UpoHata kundi la 201 halijasajiliwa lakini linatajwa...au hapo unaona vipi mkuu
UKAWA ni kikundi kinachoongozwa na wwtu mataahira wa kisiasa
Kukosolewa ni jambo moja na kutukanwa ni jambo jingine.
Hata kundi la 201 halijasajiliwa lakini linatajwa...au hapo unaona vipi mkuu
SHERIA YA MABADILIKO YA KATIBA SURA YA 83(TOLEO LA MWAKA, 2012)
Maoni ya wananchi yapo kwenye kura ya maoni, usikaririshwe na kina lipumba.
na katika rasimu yapo maoni ya maccm?
Cjawasikia hata siku moja mkizungumzia data zilizomo kwenye rasimu ya katiba why? Mmeshikilia tu kuwa ni maoni ya wananchi, how?
Nakuomba tena, Toa maoni yako juu ya Lukuvi.
Kwangu mimi he was just another senior nonsense member of the bunge la katiba, with very less effective brain, unfortunately, very much appreciated by fellow CCM members and pro-CCM like you! This puts UKAWA at a higher level of thinking. A level of and at a public sense.
Cjawasikia hata siku moja mkizungumzia data zilizomo kwenye rasimu ya katiba why? Mmeshikilia tu kuwa ni maoni ya wananchi, how?