Uhuni wa shule binafsi

Uhuni wa shule binafsi

Hata mimi nimepigiwa simu eti hela ya school bus nadaiwa nikashangaa sana uzuri mimi nina file la mwanangu la kutunza kumbukumbu zake pia ni financial file la mambo ya transaction zote nilizofanya ambazo zina umuhimu wa kutunza receipt zake.Nimewafuata shuleni nikiwa na file wameanza kurukana.
 
Kwa wahaya pale tabata ata usiwapeleke mpaka kinyozi ni muhaya pale.
.
Wapeleke St ann ipo mbezi luis mmiliki wake nae ni muhaya (mbunge wa bukoba) ila haina itikadi za kihaya.
walininyim tenda baada y kujua c muhay......pale hadi konda wa school bus muhay had mesenj....kum....nina zao hili kabila wanajua kubeban aiseeee
 
Kuna kamchezo Fulani kachafu sana kanafanywa na wamiliki wa shule za private ( Nursery and Primary ).Usipokuwa makini unaweza kuingia kingi.

Ni hivi nasomesha Watoto wawili shule mbili tofauti.Mmoja class 5mwingine chekechea.

Ada nishamaliza kote but nimeletewa memos.

Wa std 5 memo inasema nadaiwa laki tatu na ishirini.

Wa vidudu memo inasema nadaiwa laki na 39.

MY REACTION

Wa Std 5 nikaandika barua kwenye uongozi wa shule kuwaomba wanipe ufafanuzi wa deni langu.Barua iliambatana na nakala za malipo niliyo Fanya kwa mwaka mzima.

Naona wakawa wapole na kujikausha as if they wrote nothing to me.
Barua yao ilikuwa inasisitiza eti pesa hiyo isipolipwa mtoto hatoruhusiwa kufanya mitihani.***** ZAO.
Sasa hivi wana agiza hela ya beach.

Wa chekechea nimewapigia simu wahusika kuwaomba wanipe ufafanuzi but kila nikipiga naambiwa ooh sipo ofisini ntakufafanulia vizuri nikifika ofisini and blah blah.

Leo nimewaibukia wakaanza kujikanyaga kanyaga mwisho wa siku naambiwa kuna makosa yalifanyika.

Kama mnatafuta hela ya xmass semeni nyie kenge nyie sio kubambikizia watu ***** zenu.

Nimekuwa disappointed na shule hizo mbili and mwakani Wanangu nawahamishia Tusiime pale najua hakuna longo longo.

Kama wameshindwa kuwa waaminifu kwa pesa kidogo kama hiyo inonekana hata taarifa wanazo nippa kuhusu maendeleo ya watoto ni za uongo pia ili kuni encourage niamini shule inafundisha vizuri.
FALSUS IN UNO FALSUS IN OMNIBUS ( FALSE IN ONE THING FALSE IN EVERY THING)
Tuweni makini sana na shule hizi

Ila Tusiime nayo ni binafsi blaza/sister. Angalia usije kuwa unaruka kojo na kukanyaga kubwaa.
Ni ushauri tu lakini ‍♂️‍♂️
 
Mkuu usawa huu cheke. Chea unapeleka private?
 
Hilo ni tatizo dogo tu kama maswala ya upande wa elimu yapo sawa na inawezekana pia hao ni wahasibu tu na mwenye shule hana taarifa so wasiliana na uongozi wa shule ili waweze kuliondoa hilo tatizo
Jaribu kuondoa tatizo na siyo kukimbia tatizo sasa tuseme kama tatizo ni kwa wazazi wote means kila mmoja anakimbia,

Hilo siyo sawa kabisa kuwa karibu na uongozi wa shule ili kujua kila hatua ya maendeleo ya shule
 
Back
Top Bottom