Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 982
Ingrpendeza kama ungetaja jina la shule ili wajue kuwa wamestukiwa
Wahaya wanazidi kuwachoma misindano tu.......hahahhahahahKwa wahaya pale tabata ata usiwapeleke mpaka kinyozi ni muhaya pale😂😂.
.
Wapeleke St ann ipo mbezi luis mmiliki wake nae ni muhaya (mbunge wa bukoba) ila haina itikadi za kihaya.

Haa ha ha, mkuu kwani kuna tatizo gani staff wote wakiwa Wahaya!? Unahisi watoto watakua wanafundishwa Kihaya!?Kwa wahaya pale tabata ata usiwapeleke mpaka kinyozi ni muhaya pale😂😂.
.
Wapeleke St ann ipo mbezi luis mmiliki wake nae ni muhaya (mbunge wa bukoba) ila haina itikadi za kihaya.
Lakini ndiyo imeongoza kitaifa kwa matokeo ya darasa la saba.
Pole sana mamaSometimes unaweza uka una overpay mkuu.mimi watoto wangu wa kike ndo napeleka english medium primary ili wawe na class wasijenyanyaswa na wanume kama ninavyonyanyaswa ila wakiume napelekea Magufuli wajifunze kuwa fighters.All in All kupanga ni kuchagua
kitaifa ya 6 mkoa wa dsm ya kwanzaMWAKA GANI? MAANA 2017 ILIYOONGOZA ILIKUWA SIR JOHNS NA MWAKA 2018 RASKAZONE ENGLISH MEDIUM ZOTE ZA JIJI LA TANGA
Mkuu st. Anne hapafai napajua sana sema hatuwezi sema hadharani hata kutokuw kwenye while zilizofutiwa mitihani ni maajabu ya dunia.Mkuu wa shule ile had I Advanced level in form six leaver tena div.three.Ni usanii mtupu.Sikutaja nafasi iliyoshika boss kwa DSM yenyewe ndo namba moja na kitaifa ni kama ulivyosema wewe. Mtoto ni mara mia tatu umpeleke st ann kuliko shule zingine.
.
Green acres wanavimwalimu vya ajabu sana mwalimu ana division 4 ya 32 anamfundisha mtoto kizungu nilishangazwa sana, lakini st ann wapo strictly kwenye ufundishaji wao
Ha Ha Ha Ha HA. So funny.Kayumba tulizo soma Sisi ni tofauti na hizi za sasa ambazo watoto wa drs la saba wanaulizwa swali:
Rais wa kwanza wa Tz alikuwa anaitwa Mwalimu Julius Kambarage Nyere_
A. Ra
B. Ri.
C.Re. ( )
Shule za serikali zinaweza kuwa vizuri sana.Tena Kwa sasa hivi uwezekano wa watoto kufanya vizuri ni mkubwa.Ila wafanye yafuatayo kuboreshaHa Ha Ha Ha HA. So funny.
Niwaelezee wazazi tunahangaika sana. Wengi tunakimbilia Private schools, we have to be very very very careful tusije poteza pesa zetu na kupata elimu za kubabaisha. Hivi unadhani kwa nini shule ya privte a- Ada ni 60mill. kwa mwaka na nyingine 3 mil kwa mwaka? NAdhani utapata jibu kwa kifupi shule nyingine za private standar zake ni Poor kabisa. Kwa kifupi Sylabus ya Tanzania ( mnazoziita za kayumba) bado ni perfect labda tu kiingereza ( ambacho nakubaliana nacho ni muhimu). Naomba Wizara ya Elimu kwani ndiyo hiyo hiyo inasimamia Private Schoold kama mlikuwa hamjui, ifanye assessment ya shule zoote za Private na ziwekewe daraja za ubora kama Hotels ili wazazi watoe hela kihalali wanaotaka na wenye pesa. Otherwise shule za Public bado ni super na kwa sasa kutokana na Serekali ya Awamu ya 5 zitazidiku kuwa excellent kama Vyuo vya Serekali. Tatizom a shele za Private ni kiutafuniwa kila kitu! Wakifika vyuoni inakuwa shida!
I can give you my experienece. Mimi nilisoma a very good nursery school- mpaka sasa sijawahi kuona nursery school nzuri kama ile Tanzania- LakininStd 1 to 7 ( St. Kayumba), kufika form One Mweeee, wale watu wazima wenzangu je mnakumbuka kitabu ' Learning Through Language?!?!?!?!?!? Tuachie hapo, sitaitaja shule kuepuka identification la kini ni shule moja yam Serekali, watoto wengi wa 'wakubwa' walikuwa wanasoma pale , yopu can imagine , wengine wametoka Olympio, wengine St. Joseph ( English medium school) - Mweee- (jamani watoto wa siku hizi wale wanaosoma Swahili medium schoo mnaweza kutumia mitandao kujifunza English jamani). Temu ya kwanza - kizunguzungu- waliotoka english medium school -wanaongoza- Lakini shule niliyotoka tulifundishwa yoooote- nakumbuka Sayansi namini wengi tulipata Mia kwa mia. Sasa Issue Kiingereza. Kufupisha story temu yapili St. Kayumba tuliwaaacha mbaali wenzetu. ( imagine sisis miaka saba kiswahili. Wenzetu miaka saba Kiingereza) ilichukua miezi sitat tu kuwa nao sambamba na kuwapita. Tuzidi kuishinikiza Serekali kuboresha ( uzuri wameanza kuziboresha kwa speed ya ajabu) basi Wenye watoto Shule za kiswahili wasisononeke lakini wazazi, tutumie muda mwingi saaana kuwasimamia watoto katika masomo wata-make it tu- Kuwa himiza wajifunze kiingereza kwenye mitandao jamani endapo issue ni kiingereza.
Shule za Private za kupeleka watoto muwe mnafanya upembuzi yakinifu kabla ya kupeleka mtoto kuna nyingine hazina tofauti na kayumba.Ada kubwa anachopata hakunaelimu bure ilikuwa kipindi cha mwalimu tulichosoma sisi; kwa sasa kama una kauwezo ka kundunduliza aise nakushauri kula ugali kabechi mpeleke mtoto shule za maana!! mjengee future nzuri atakushukuru sana kwa maisha yake.
Acha dharau hii elimu bure ni ile ile ya kipindi kile kabla haijawa bureCha bure ndani ya Tanzania? bora nikisamehe tu
Acha dharau hii elimu bure ni ile ile ya kipindi kile kabla haijawa bure