Uhuni wa shule binafsi

Uhuni wa shule binafsi

Hahahahaaaa.... Mzaz wa. Come hpn chezea kumbukumb wezi kla kona wpo ni mbinu tu
 
Kuna Ufahari Gani Wa Kusomesha Watoto Kwenye Shule Hizo Wakati Za Umma Zipo? Shule Za Umma Hazina Upuuzi Huo Wa Kukamua Wazazi
 
Kuna kamchezo Fulani kachafu sana kanafanywa na wamiliki wa shule za private ( Nursery and Primary ).Usipokuwa makini unaweza kuingia kingi.

Ni hivi nasomesha Watoto wawili shule mbili tofauti.Mmoja class 5mwingine chekechea.

Ada nishamaliza kote but nimeletewa memos.

Wa std 5 memo inasema nadaiwa laki tatu na ishirini.

Wa vidudu memo inasema nadaiwa laki na 39.

MY REACTION

Wa Std 5 nikaandika barua kwenye uongozi wa shule kuwaomba wanipe ufafanuzi wa deni langu.Barua iliambatana na nakala za malipo niliyo Fanya kwa mwaka mzima.

Naona wakawa wapole na kujikausha as if they wrote nothing to me.
Barua yao ilikuwa inasisitiza eti pesa hiyo isipolipwa mtoto hatoruhusiwa kufanya mitihani.***** ZAO.
Sasa hivi wana agiza hela ya beach.

Wa chekechea nimewapigia simu wahusika kuwaomba wanipe ufafanuzi but kila nikipiga naambiwa ooh sipo ofisini ntakufafanulia vizuri nikifika ofisini and blah blah.

Leo nimewaibukia wakaanza kujikanyaga kanyaga mwisho wa siku naambiwa kuna makosa yalifanyika.

Kama mnatafuta hela ya xmass semeni nyie kenge nyie sio kubambikizia watu ***** zenu.

Nimekuwa disappointed na shule hizo mbili and mwakani Wanangu nawahamishia Tusiime pale najua hakuna longo longo.

Kama wameshindwa kuwa waaminifu kwa pesa kidogo kama hiyo inonekana hata taarifa wanazo nippa kuhusu maendeleo ya watoto ni za uongo pia ili kuni encourage niamini shule inafundisha vizuri.
FALSUS IN UNO FALSUS IN OMNIBUS ( FALSE IN ONE THING FALSE IN EVERY THING)
Tuweni makini sana na shule hizi
Hii ni promo Kwa TUSIIME. Ntapeleka na mimi mtoto Tusiime
 
Aiseee umenikumbusha mbali sanaaaa wakati naishi kulee kwa wazungu, landlord aliniletea barua ya kuhama. Nikampigia simu nikamuuliza mbona unataka nihame ukisema sababu sijalipa mwezi wa 4 wakati huu mwezi wa October. Akasema ndio sioni kumbukumbu kama ulilipa mwezi huo. Nikaprint bank statements inayoonyesha ile check niliolipia. Nikaifax ofisini kwao waliomba samahani. Haya mambo ya kuwalipa sijui landlord,shule na bank deposit na withdraw lazima uwe makini sana. Manake hata benki washataka kuniliza nao.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kayumba tulizo soma Sisi ni tofauti na hizi za sasa ambazo watoto wa drs la saba wanaulizwa swali:

Rais wa kwanza wa Tz alikuwa anaitwa Mwalimu Julius Kambarage Nyere_

A. Ra
B. Ri.
C.Re. ( )
😀😀😀😀😀😀mkuu hili swal ni kwamba lilikuwepo kweny mitihan yao ya kumaliza au?
 
Kuna kamchezo Fulani kachafu sana kanafanywa na wamiliki wa shule za private ( Nursery and Primary ).Usipokuwa makini unaweza kuingia kingi.

Ni hivi nasomesha Watoto wawili shule mbili tofauti.Mmoja class 5mwingine chekechea.

Ada nishamaliza kote but nimeletewa memos.

Wa std 5 memo inasema nadaiwa laki tatu na ishirini.

Wa vidudu memo inasema nadaiwa laki na 39.

MY REACTION

Wa Std 5 nikaandika barua kwenye uongozi wa shule kuwaomba wanipe ufafanuzi wa deni langu.Barua iliambatana na nakala za malipo niliyo Fanya kwa mwaka mzima.

Naona wakawa wapole na kujikausha as if they wrote nothing to me.
Barua yao ilikuwa inasisitiza eti pesa hiyo isipolipwa mtoto hatoruhusiwa kufanya mitihani.***** ZAO.
Sasa hivi wana agiza hela ya beach.

Wa chekechea nimewapigia simu wahusika kuwaomba wanipe ufafanuzi but kila nikipiga naambiwa ooh sipo ofisini ntakufafanulia vizuri nikifika ofisini and blah blah.

Leo nimewaibukia wakaanza kujikanyaga kanyaga mwisho wa siku naambiwa kuna makosa yalifanyika.

Kama mnatafuta hela ya xmass semeni nyie kenge nyie sio kubambikizia watu ***** zenu.

Nimekuwa disappointed na shule hizo mbili and mwakani Wanangu nawahamishia Tusiime pale najua hakuna longo longo.

Kama wameshindwa kuwa waaminifu kwa pesa kidogo kama hiyo inonekana hata taarifa wanazo nippa kuhusu maendeleo ya watoto ni za uongo pia ili kuni encourage niamini shule inafundisha vizuri.
FALSUS IN UNO FALSUS IN OMNIBUS ( FALSE IN ONE THING FALSE IN EVERY THING)
Tuweni makini sana na shule hizi
Asubuhi nimesema usikute hili jamaa linamiliki mke na watoto, baada ya kuleta uzi wa Mange kimambi. Hapa jamvini.
 
Hata nifulie vipi sipeleki mwanangu shule za serik
Kuna Ufahari Gani Wa Kusomesha Watoto Kwenye Shule Hizo Wakati Za Umma Zipo? Shule Za Umma Hazina Upuuzi Huo Wa Kukamua Wazazi
Hata nifulie vipi sipeleki mwanangu shule za elimu bure
 
Mkuu mimi ninacho kifanya huwa nikilipia ile portion ya mwisho na kuhakikisha kuwa nimemaliza huwa namwambia ageuze nyuma ya receipt aandike kwamba nimemaliza deni na anagonga muhuri kabisa... Hapo ndo nakuwa nimefunga ukurasa wa kulipa ada kwa mwaka huo sitaki longolongo tena
 
Mkuu shule za ELIMU bure zimejaa kwann uteseke??
elimu bure ilikuwa kipindi cha mwalimu tulichosoma sisi; kwa sasa kama una kauwezo ka kundunduliza aise nakushauri kula ugali kabechi mpeleke mtoto shule za maana!! mjengee future nzuri atakushukuru sana kwa maisha yake.
 
Sometimes unaweza uka una overpay mkuu.mimi watoto wangu wa kike ndo napeleka english medium primary ili wawe na class wasijenyanyaswa na wanume kama ninavyonyanyaswa ila wakiume napelekea Magufuli wajifunze kuwa fighters.All in All kupanga ni kuchagua
Aisee, kumbe ndiyomaana Wanawake wasomi wana viburi ambavyo tangu niwajue Wanawake vizuri sijawahi kuona?

Kumbe hivi ndivyo jinsi wanavyoharibiwa hao Mama & Dada zetu kisaikolojia?
Kuwa "soma mwanangu wa kike ili usije kunyanyaswa na Mumeo atayekuoa"?

So tayari Mtoto wa kike anasoma huku akiwa kashaathirika kisaikolojia kuwa Mwanaume yeyote atayemuoa ni mnyanyasaji?

Hata kama Mungu kamjalia huyo Mwanaume atayekuja kumuoa hekima na busara kwa kulelewa toka kwa wazazi wake akiwa mdogo naye atakuwa ni mnyanyasaji tu akija kumuoa huyo binti yako?

Mungu nisaidie nisije kumpumbaza mtoto wangu wa kike na kumuharibu kiakili kama huyu Mama, maana kashaathirika na manyanyaso ya Mumewe kwa kujua kuwa ndivyo jinsi Wanaume wote tulivyo, badala ya kupiga magoti akikuomba kwa sala ya dhati na kufunga umbadilishie Mumewe aweze kuishi naye katika hekima kwa kuwa hakuna linaloshindikana kwako Mungu muweza ya yote.
 
Back
Top Bottom