Uhuni wa shule binafsi

Uhuni wa shule binafsi

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,303
Kuna kamchezo Fulani kachafu sana kanafanywa na wamiliki wa shule za private ( Nursery and Primary ).Usipokuwa makini unaweza kuingia kingi.

Ni hivi nasomesha Watoto wawili shule mbili tofauti.Mmoja class 5mwingine chekechea.

Ada nishamaliza kote but nimeletewa memos.

Wa std 5 memo inasema nadaiwa laki tatu na ishirini.

Wa vidudu memo inasema nadaiwa laki na 39.

MY REACTION

Wa Std 5 nikaandika barua kwenye uongozi wa shule kuwaomba wanipe ufafanuzi wa deni langu.Barua iliambatana na nakala za malipo niliyo Fanya kwa mwaka mzima.

Naona wakawa wapole na kujikausha as if they wrote nothing to me.
Barua yao ilikuwa inasisitiza eti pesa hiyo isipolipwa mtoto hatoruhusiwa kufanya mitihani.***** ZAO.
Sasa hivi wana agiza hela ya beach.

Wa chekechea nimewapigia simu wahusika kuwaomba wanipe ufafanuzi but kila nikipiga naambiwa ooh sipo ofisini ntakufafanulia vizuri nikifika ofisini and blah blah.

Leo nimewaibukia wakaanza kujikanyaga kanyaga mwisho wa siku naambiwa kuna makosa yalifanyika.

Kama mnatafuta hela ya xmass semeni nyie kenge nyie sio kubambikizia watu ***** zenu.

Nimekuwa disappointed na shule hizo mbili and mwakani Wanangu nawahamishia Tusiime pale najua hakuna longo longo.

Kama wameshindwa kuwa waaminifu kwa pesa kidogo kama hiyo inonekana hata taarifa wanazo nippa kuhusu maendeleo ya watoto ni za uongo pia ili kuni encourage niamini shule inafundisha vizuri.
FALSUS IN UNO FALSUS IN OMNIBUS ( FALSE IN ONE THING FALSE IN EVERY THING)
Tuweni makini sana na shule hizi
 
FALSUS UNO FALSUS IN OMNIBUS ( FALSE IN ONE THING FALSE IN EVERY THING)
Tuweni makini sana na shule hizi
Wasiwasi wako tu;
Inawezekana kuna tatizo katika utunzaji wa kumbukumbu za malipo za mwanao hapo shuleni.Cha kufanya wewe angalia maendeleo ya mwanao mwenyewe na sio kwa kutegemea ripoti ya mwalimu.Ila we ni tajri aisee watoto wako unawalipia laki nyingi hivo wakati uncle magu katoa elimu bure?
 
Vya bure ninaogopa gharama mkuu.
Cheap is so expensive.
 
Kwa mazingira ya elimu ya sasaivi ya kibongo kumsomesha mtoto private haikwepeki kutokana na kuwa mfumo umeshakuwa corrupted.
Unaambiwa Cha bure aghali unampeleka mtoto wako shule za serikali matokeo yake unaharibu kabisa future ya mtoto, cha msingi ni kuwa muangalifu na kufuatilia matokeo ya mwanao wewe mwenyewe pia kutunza kumbukumbu zote za malipo ili uje uzitumie just in case ya contradiction kama hizo endapo zitajitokeza.
 
Mkuu mi mzaramo mkuu. Kizaramo bure maana yake ni hakuna. So elimu bure kwangu Hakuna elimu
Mkuu hapo unazikosea heshima shule zetu zilizotutoa kimaisha ... je ni wangapi wanapeleka watoto wao private schools halafu mwisho wa siku mtoto anatoka mbumbumbu kuliko yule wa elimu bure? Think twice
 
Kuna kamchezo Fulani kachafu sana kanafanywa na wamiliki wa shule za private ( Nursery and Primary ).Usipokuwa makini unaweza kuingia kingi.

Ni hivi nasomesha Watoto wawili shule mbili tofauti.Mmoja class 5mwingine chekechea.

Ada nishamaliza kote but nimeletewa memos.

Wa std 5 memo inasema nadaiwa laki tatu na ishirini.

Wa vidudu memo inasema nadaiwa laki na 39.

MY REACTION

Wa Std 5 nikaandika barua kwenye uongozi wa shule kuwaomba wanipe ufafanuzi wa deni langu.Barua iliambatana na nakala za malipo niliyo Fanya kwa mwaka mzima.

Naona wakawa wapole na kujikausha as if they wrote nothing to me.
Barua yao ilikuwa inasisitiza eti pesa hiyo isipolipwa mtoto hatoruhusiwa kufanya mitihani.***** ZAO.
Sasa hivi wana agiza hela ya beach.

Wa chekechea nimewapigia simu wahusika kuwaomba wanipe ufafanuzi but kila nikipiga naambiwa ooh sipo ofisini ntakufafanulia vizuri nikifika ofisini and blah blah.

Leo nimewaibukia wakaanza kujikanyaga kanyaga mwisho wa siku naambiwa kuna makosa yalifanyika.

Kama mnatafuta hela ya xmass semeni nyie kenge nyie sio kubambikizia watu ***** zenu.

Nimekuwa disappointed na shule hizo mbili and mwakani Wanangu nawahamishia Tusiime pale najua hakuna longo longo.

Kama wameshindwa kuwa waaminifu kwa pesa kidogo kama hiyo inonekana hata taarifa wanazo nippa kuhusu maendeleo ya watoto ni za uongo pia ili kuni encourage niamini shule inafundisha vizuri.
FALSUS IN UNO FALSUS IN OMNIBUS ( FALSE IN ONE THING FALSE IN EVERY THING)
Tuweni makini sana na shule hizi
kumbe wako hawasomi kayumba day elimu bure
 
Huo ni mchezo wa shule nyingi za Binafsi!

Wale wa shule ya kanisa NYUMBA YA MUNGU Babati Mjini walipotaka kuniibia kwa mtindo huu hawatasahau!

Yani wazazi na walezi wasiofatilia pesa wanazolipa katika shule za Binafsi wanaibiwa sana!
 
Mkuu hapo unazikosea heshima shule zetu zilizotutoa kimaisha ... je ni wangapi wanapeleka watoto wao private schools halafu mwisho wa siku mtoto anatoka mbumbumbu kuliko yule wa elimu bure? Think twice
Kayumba tulizo soma Sisi ni tofauti na hizi za sasa ambazo watoto wa drs la saba wanaulizwa swali:

Rais wa kwanza wa Tz alikuwa anaitwa Mwalimu Julius Kambarage Nyere_

A. Ra
B. Ri.
C.Re. ( )
 
Back
Top Bottom