Probably sio uhuni na anaefanya hiyo kazi huenda sio competentPole mkuu. Huo kweli uhuni. Wamegeuza mtaji miili ya watoto
Kutokua competent ni uhuni pia.Probably sio uhuni na anaefanya hiyo kazi huenda sio competent
Wasingetibu kabisa basi kuliko kuwaumiza malaika wasio na hatiaIliyo chini ya kapeti madaktari wapo kwenye mgomo lakini hawajatangaza rasmi, fuatilia utabaini ninachokuambia
Nadhani hii ndio inaweza kuwa sababu kubwa zaidi mkuu.Probably sio uhuni na anaefanya hiyo kazi huenda sio competent
Lugalo ni shiiiiida hasa kwenye idara ya watoto kule mwenge kuna uzembe mwingi kwa Madokta wa watoto ushauria wao kwa asilimia kubwa ni sawa na wa waganga wa kienyeji, watoto wengi hufariki na wengine kulemaa kwa uzembe wao, hata wajawazito wengi wanaokwenda kupata Huduma huko hulalamikia taratibu zao kwa sasa, idara za huduma za Afya walitizame hilo kwa jicho la tatu.Ni tarehe 10 June 2018 namfikisha mwanangu amevunjika mkono ili apatiwe tiba. tunalipia kila kitu natoka kulipia nakutana na Mama mmoja analia mwanae mkono wake umeunga vibaya baada ya kutibiwa hapo hapo na wamenwambia akalipie wauvunje wauunge tena. nafika kwa dokta muhusika namkuta Dada mwingine na mwanae wa miaka 3 nae mkono umeunga vibaya inabidi nae wauvunje waunge upya. mh najipa moyo nikisema bahati mbaya. Mwanangu anafungwa POP naambiwa rudi baada ya siku 14. tarehe 25 June 2018 narudi POP inatolewa X Ray majibu mkono umeunga vibaya. Inabidi tuuvunje tuunge upya????? MMMH. Watoto hawa ni 2-5 years. jamani hii ni biashara au nini??? Nidhamu iko wapi???? Naomba Advocate humu niwashtaki Lugalo Hospital. Sasa hivi naelekea MOI tu ila nina uchungu sana.
Yes sirNadhani hii ndio inaweza kuwa sababu kubwa zaidi mkuu.
Oooh kumbe nilikuwa sijuiKutokua competent ni uhuni pia.
Nadhani suala la uhakiki wa vyeti na ujuzi wao linabidi kufanyiwa uchunguzi vizuri, yapo malalamiko mengi sana ni wakati mkuu wa Hosptal azinduke afanye mabadiliko kila idara kwenye hiyo Hosptal.Jambo la kujiuliza hao madakitari wa Lugalo ni experts wa hizo fani? au ni clinical officers wa jeshi waliosoma ukumbwani kutowa huduma ya kwanza kwewezao incase ya emergence.
huyo Dokta anayetumia watoto kufanya mazoezi ya kuuga mifupa yafaa afukuzwe kazi mara moja pengine ana vyeti fekiMkuu kwanza wewe una tatizo
Unakutana na mtu zaidi ya mmoja analalamikia tatizo lile lile bado unampeleka mgonjwa wa shida ile ile
Tukikuita mpumbavu tutakuwa tumekosea?
Pole nyingi Mkuu.Ni tarehe 10 June 2018 namfikisha mwanangu amevunjika mkono ili apatiwe tiba. tunalipia kila kitu natoka kulipia nakutana na Mama mmoja analia mwanae mkono wake umeunga vibaya baada ya kutibiwa hapo hapo na wamenwambia akalipie wauvunje wauunge tena. nafika kwa dokta muhusika namkuta Dada mwingine na mwanae wa miaka 3 nae mkono umeunga vibaya inabidi nae wauvunje waunge upya. mh najipa moyo nikisema bahati mbaya. Mwanangu anafungwa POP naambiwa rudi baada ya siku 14. tarehe 25 June 2018 narudi POP inatolewa X Ray majibu mkono umeunga vibaya. Inabidi tuuvunje tuunge upya????? MMMH. Watoto hawa ni 2-5 years. jamani hii ni biashara au nini??? Nidhamu iko wapi???? Naomba Advocate humu niwashtaki Lugalo Hospital. Sasa hivi naelekea MOI tu ila nina uchungu sana.
Mwenge na Lugalo main campus zina uhusiano gani?Lugalo ni shiiiiida hasa kwenye idara ya watoto kule mwenge kuna uzembe mwingi kwa Madokta wa watoto ushauria wao kwa asilimia kubwa ni sawa na wa waganga wa kienyeji, watoto wengi hufariki na wengine kulemaa kwa uzembe wao, hata wajawazito wengi wanaokwenda kupata Huduma huko hulalamikia taratibu zao kwa sasa, idara za huduma za Afya walitizame hilo kwa jicho la tatu.