uhuni wa ccm karimjee

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
wamesomba watoto na watu ambao dhahiri wamenunuliwa kupiggga kelele.wanashaangilia kila zinnappotajwa kikwete akitajwa.wanazomeeea killla anaye kosooa muswadaa.kamati ippo ttu
 
Hv huwa wanawaza nini? Inatia mahasira jamani! Tutafika kweli 2endako?
 
wamesomba watoto na watu ambao dhahiri wamenunuliwa kupiggga kelele.wanashaangilia kila zinnappotajwa kikwete akitajwa.wanazomeeea killla anaye kosooa muswadaa.kamati ippo ttu

Kwa hiyo Tambwe Hiza kafanya alichowaambia waandishi wa habari jana kwamba CCM ikiamua kuleta watu wake patakuwa hapatoshi.
 
Huyo mwacheni anayeyuka peke yake kama mshumaa ...JK asikae akadhani hapo magogoni ni mbali, kwa hili litaitimisha uongozi wake mda si mrefu,akiwa anakata roho msalabani Yesu alisema YAMETIMIA,na sasa nayaona ya Misri yanatimia Tz
 
Ngoja niwasiliane na wakazi wa TEGETA waje kuwashugulikia hao majuha hao wa CCM......
 
Toa na wewe yko tuuone utimam wko. Hao waliosomba watt wa mtaani ndo umeona hawaingliwi?

we mama mbona kama unahangaika sana kila nikikusoma ni kama vile uko underpressure mithili ya kuku anaetaka kutaga.WHAT IS THE PROBLEM OLDWOMAN?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom