Uhuni unaofanywa na Paul Makonda akishirikiana na watu tuliowaamini kulinda nchi

Mwemary

JF-Expert Member
May 25, 2016
330
340
Wakati wa vita pili ya dunia 1939-45. Wakati kuna kikosi maaa lum kiliundwa kwa madhumuni ya kuwashughulikia wale wote waliokuwa na mawazo mbadala.Kipindi German ndio iliokuwa super power ikiongozwa na Dictator Adolph Hittler. Huyu bana aliunda kikosi maalum ambacho kiliongozwa na Bwana Mmoja katili ambaye alijulikana kwa Gelhad Votton Smack ( niko tayari kukosolewa kama nimekosea).

Huyu bhana kazi yake ilikuwa ni kuwaaadhibu wale wote walioenda kinyume na Serikali pia na matwaka yake na aliaminiwa na kiongozi wa Nchi. Ni zaidi ya miaka 60 imepita lkn leo tena Nchini mwetu yanata yajitokeze. Germani walikuwa na bwana Gelhad Votton Smack sasa sidi tuna Daudi albert Bashite.

Bwana huyu amekuwa ana nguvu nyingi kupita mawaziri wote ni kama vile ameanzisha nchi ndani ya nchi.Huyu bhana amekuwa anateka watu ambao hupishana nao kimawazo. Kwa kutumia dolla. alioyafanya kwa kutumia cheo chake ni.

1.Kuvamia clouds media pamoja na vijana wake wenye silaha za kivita kuwatishia kuwafunga gerezani bila kupita mahakamani.(RC decrees)

2.Kutaja watu bila ya ushahidi kwenye madawa ya kulevya lengo ni kuwasaidia rafiki zake wanaofanya biashara ili kupunguza ushindani.

3.Kubaka wasichana kwa kutumia cheo Chake.

4.Kutuma watu wanaomlinda kumtisha waziri na bunduki.

5.Kuwatisha wasanii na kuwaweka rumande Ney na Roma( Hajulikani halipo)

6.Kuomba rushwa ya pesa na ngono mfano wema kuwatisha matajiri bila kumpa pesa hamna kufungua miradi yao.
Bwana albert azibitiwe kama sio na aliemteua angalau bunge kupitia sakata la kufoji vyeti.
Clouds walikuwa rafiki zake sana walimpaisa mpaka kufikia hatua ya kupewa ukuu wa mkoa lkn malipo walioyaambulia ni kuvamiwa na silaha za kijeshi. Wakati huohuo wenye akili zao walijitenga nao eg IPP media na wengineo.
Daudi ameweza kuigeuka familia yake ya mwanza iliomlea ya mwanza hatoshindwa kuwageuka hao wasanii wakina Diamondi kuwateka na kuwaua.
Ameanzisha genge la mafia kutokana ulinzi aliopewa na Sizonje baaada kucheza na akili za sinzoje kuanzisha operesheni feki ya madawa ya kulevya na hivyo kuomba ulinzi ili asiuwawe sasa anautumia ulinzi huo kwa umafia wake.
Na Signout maaanake wameshanijazia Inbox ya Vitisho acha tuendelee kuandamana moyoni ila ipo siku tutaingia barabarani.
Cc Tunisia,Misri,Libya.

My take: Tanzania tuna Maraisi wangapi ? Maaanake haielweki
 
Sijui tunaelekea wapi Mungu atuongoze nchi hii kabla hatujageuka kuwa kama North Korea 100% na watu kuishi kama digi digi.
Tukawa tunaishi ndani bila kutoka nje na kuona nje kwa kuchungulia toka madirishani kwetu bashite ......Nape,Ney,Roma we endelea tu Mungu anakuona.
 
Mjifunze kutii sheria bila SHURUTI. Mnatukana mamlaka halafu mnategemea mpikiwe keki!!!!! Hii ni awamu ya tano na zama zake.

56580c47bec5f388ecbb41e623091f1e.jpg
 
Yaani hii nchi sijui tunaelekea wapi! Ukimkosoa bwana mkubwa tu, basi ujue maisha yako umeyaweka rehani. Nimesikitishwa sana na utekwaji wa Roma Mkatoliki. Huyu Bashite anastahili kushtakiwa kisha kunyongwa mpaka kufa kwani ni kijana hatari sana na lile genge analoliongoza.
 
Back
Top Bottom