Negative 1
Senior Member
- Aug 26, 2013
- 133
- 4
Hi wanajf, msaada kwa hili jamani, hivi inawezekana kwa mtumishi km mwl hiv mwanamme wa ndoa kuhama kumfuata mkewe wa ndoa tanzania hii?
Why not?Serikali haina kizuizi,issue ni maneno ya mtaani!