aaàaaaah hapo utakuwa ubabaishaji.Kwa sababu mikoa yote isipokuwa sita ikiwemo Lindi na Tabora tuliahidiwa ndani ya wiki mbili toka tarehe 10/8.Nimeshavurugika mkuuUkisitishwa umesitishwa mkuu. Kuwa mvumilivu tu
mimi leo sijaenda kazini nimekata tamaa.Cha msingi mwenye mawasiliano aweke ili tujaribu kuwasiliana ili watupe ufafanuzi zaidi.Yani Mimi sina hamu barua zetu zishatumwa sijui hata nfanyaje jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo title nilikuja speed nikadhani kuna mtu huko kashahamisha kumbe......Kama kichwa kinavyosomeka,,,kuna taarifa ya kusitisha uhamisho.Sasa kwa wadau wenye mawasiliano na ofisi za Tamisemi mtusaidie kuuliza hili sitisho linawahusu hata waombàji ambào wameshatuma bàrua Tamisemi na ambao waliahidiwa kujibuwa hivi punde?.Mimi binafsi nimekatishwa tamaa kwa sababu tuliahidiwa kujibiwa hivi karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka lini vibali vya uhamisho vitatolewa tena Mkuu?Ukisitishwa umesitishwa mkuu. Kuwa mvumilivu tu
Tunasubiri utaratibu kutoka TAMISEMI,kuwa na uvumilivuMpaka lini vibali vya uhamisho vitatolewa tena Mkuu?
Kweli kabisaMmesoma kwa tabu (masomo magumu), mnafundisha kwa tabu (vipindi vingi kwa sababu mpo wachache) na kuhama ni kwa tabu
Eee mwenyezi Mungu waone waja wako
Namba yake hii mpigie au mbip 07123456789wadau kwa mwenye mawasiliano na waziri wa tamisemi au utumishi tupeane basi ili tujaribu kuuliza hatima ya uhamisho maana imekuwa ni kama uhamisho haupo kwa mujibu wa sheria.
namba gani hiyo mkuu? mbona ina tarakimu 11?Namba yake hii mpigie au mbip 07123456789
Ni mpya hiyo ukipiga hukatwi pesa yakonamba gani hiyo mkuu? mbona ina tarakimu 11?
powaa nashukuru,,,ila ni vizuri ikipatikana ambayo nikiipiga nitakatwa fedha.Ni mpya hiyo ukipiga hukatwi pesa yako