Uhamisho

mkoha

Member
May 24, 2018
62
53
Kama kichwa kinavyosomeka,,,kuna taarifa ya kusitisha uhamisho.Sasa kwa wadau wenye mawasiliano na ofisi za Tamisemi mtusaidie kuuliza hili sitisho linawahusu hata waombàji ambào wameshatuma bàrua Tamisemi na ambao waliahidiwa kujibuwa hivi punde?.Mimi binafsi nimekatishwa tamaa kwa sababu tuliahidiwa kujibiwa hivi karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uhamisho.PNG
 
Hiyo title nilikuja speed nikadhani kuna mtu huko kashahamisha kumbe......
Ngoja wanaojua waje
 
NAONA BARUA INAJIELEZA KUHUSU UBORESHAJI WA MCHAKATO WA UHAMISHO. ILA PIA TAMISEMI ANGALIENI NAMNA YA KUTUSAIDIA WALIMU WA MASOMO YA SAYANSI MAANA WAKUU WA SHULE WANATUANDIKIA COMMENTS ZA KUKATISHA TAMAA NA MADSEO NA WAKURUGENZI HAWATAKI NA HAWAPITISHI BARUA ZETU ZA UHAMISHO KISA UHABA WA WALIMU.
NIMEANDIKA BARUA YA KWANZA MKUU KAKOMENT Hivi "Endapo ombi lake litakubaliwa, nipatiwe mwalimu mwingine wa phyzikia na hesabu"
Afisa Elimu sekondari nae kakoment hivi
nashauri atafute mwlm wa masomo ya phyzikia na hesabu abadilishane nae. nimetoa sababu za msingi lakini bado siruhusiwi kuhama.

NASHAURI TAMISEMI MLIANGALIE HILI KWA MAKINI SISI WALIMU WA HAYO MASOMO KARIBIA WILAYA NYINGI TUNAKOSA HIYO HAKI YA MSINGI YA KUHAMA WAKURUGENZI HAWASAINI KABISA BARUA ZETU.
 
Mmesoma kwa tabu (masomo magumu), mnafundisha kwa tabu (vipindi vingi kwa sababu mpo wachache) na kuhama ni kwa tabu

Eee mwenyezi Mungu waone waja wako
 
wadau kwa mwenye mawasiliano na waziri wa tamisemi au utumishi tupeane basi ili tujaribu kuuliza hatima ya uhamisho maana imekuwa ni kama uhamisho haupo kwa mujibu wa sheria.
 
wadau kwa mwenye mawasiliano na waziri wa tamisemi au utumishi tupeane basi ili tujaribu kuuliza hatima ya uhamisho maana imekuwa ni kama uhamisho haupo kwa mujibu wa sheria.
Namba yake hii mpigie au mbip 07123456789
 
Back
Top Bottom