Uhamisho wa watumishi utaanza lini?

IRINGA ONE

Senior Member
Mar 19, 2015
139
96
Habari wadau,

Niende moja kwa moja kwenye mada,

Sikukuu ya May Mosi ilitangazwa kuwa stahiki zote zimefunguliwa ikiwemo kupanda madaraja, uhamisho n.k. Lakini ukiwasiliana na TAMISEMI wanakwambia bado hawajaruhusiwa kutoa uhamisho na vibali.

Swali je tamko la Mei Mosi halikuwa rasmi?

WELCOME WADAU
 
Usishangazwe na hilo tu Mkuu. Waulize wale waajiriwa wapya( walimu wa sayansi) kama wamelipwa hata robo ya pesa za kujikimu halafu pia wameambiwaje kuhusu mshahara wao.
 
Do not trust those guys the only truth that can utter is neither their names nor gender!!
 
Back
Top Bottom