Uhamisho wa Wakurugenzi wa Wilaya

Uhamisho wa Wakurugenzi wa Wilaya

Magu

Senior Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
156
Reaction score
56
Ndg zangu, naomba kujuzwa iwapo kuna uhamisho umefanyika wa wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya (DED) wiki hii.

Pia naomba kufahamishwa kuhusu Wilaya mpya, ni lini zitakuwa adminstratively opearational?
 
Jamani mbona kimya ni kweli hakuna mwenye taarifa yoyote?
 
Pole sana kwa the long wait. Watumishi wengi wa Halmashauri wanajiuliza ila majibu hakuna. Haijatangazwa ila baadhi ya halmashauri mpya wakurugenzi wameanza kuripoti.
 
Mkurugenzi wa wilaya ya Arusha vijijini ni miongoni mwa waliohamishwa
 
upo uhamisho ndiyo wiki hii na wengi waliokuwa wakuu wa idara wamepewa UDED katika baadhi ya halmashauri za wilaya, pia wapo vijana waliopewa ukuu wa idara katika local govt maeneo mbali wa mbali, nafaham maeneo machache kama Geita watu wanapelekwa, Mtwara, Iringa. Kwa ujumla kuna uteuzi wa wapya wengi kuliko wanaohamishwa
 
Nimeisikia hii kitu jana RFA habari saa 2.30 usiku kuwa wakurugenzi wa majiji na wengine wapya 25 wameteuliwa au kuhamishwa vituo. Mkurugenzi wa jiji la mwanza kaenda dar. Asubuhi nimesikiliza kwenye magazeti ila sijasikia chochote
 
wa njombe kaenda mwanza wa mwanza kaenda dar na wa tabora mama Spola kapelekwa Arusha jiji
 
Habari wana jf, Mwenye taarifa kuhusu aliye teuliwa kuwa mkurugenzi ya manispaa ya Arusha atujuze, alipotokea, na aliyekuwepo awali ameamishiwa wapi..
 
Habari wana jf, Mwenye taarifa kuhusu aliye teuliwa kuwa mkurugenzi ya manispaa ya Arusha atujuze, alipotokea, na aliyekuwepo awali ameamishiwa wapi..

Hebu nijuze jina, inawezekana na mfahamu, nilishasikiaskia juu ya uhamisho huo.
 
Habari wana jf, Mwenye taarifa kuhusu aliye teuliwa kuwa mkurugenzi ya manispaa ya Arusha atujuze, alipotokea, na aliyekuwepo awali ameamishiwa wapi..
Mnataka mumteke au mfanye vitendo vya kigaidi.
Kweli vijana wa Arusha Mnavutishwa Bange na Lema.
 
Back
Top Bottom