Uhamisho TAMISEMI June 2016 kwa Walimu vipi?

Nyumban ni nyumban
Njoo mtwara mi nije ruvuma idara ya secondary. 0766269332
 
alafu wenyewe wamekaa kimyaa wakati watu wanaumiza vichwa, kama uhakiki tayari wamesema toka trh 26 aug 2016 sasa tatizo nin cjui!? utasikia wanasubiri tamko
 
Hii ishu sijui imefia wapi! Hamna hata wakuisemea.
 
Hawako fair in such uhamisho unaenda na malengo no bora hata wangetoa ahadi au taarifa ili kuwaweka waombaji wazi na waelewe cha kufanya, manake barua za uhamisho zikiwa kwenye faili hata nafasi za kusimamia, inset n.k zinaadimika.
 
Subirini muhakikiwe kwanza tutahama tu hyo IPO kisheria...serkal inaogopa kuhamisha watumish hewa
 
Uhamisho wa Tz huzingatia maslai ya nchi na sio matatizo waliyonayo watumishi. Kwa mtazamo wangu mwaka huu uhamisho haupo kwa sababu baadhi ya sector, elimu kwa mfano; walimu walioko shuleni wameshamaliza mada zote. Hivyo labda wanaweza kutoa uhamisho pamoja na ajira from January 2017
 
Kumbukeni upo mpango wa kuwahamisha wale waliojazana mijini kwanza.

Hapo wengi watahama bila hiari yao.
 
Uhamisho wa Tz huzingatia maslai ya nchi na sio matatizo waliyonayo watumishi. Kwa mtazamo wangu mwaka huu uhamisho haupo kwa sababu baadhi ya sector, elimu kwa mfano; walimu walioko shuleni wameshamaliza mada zote. Hivyo labda wanaweza kutoa uhamisho pamoja na ajira from January 2017
Uhamisho wa Tz huzingatia maslai ya nchi na sio matatizo waliyonayo watumishi. Kwa mtazamo wangu mwaka huu uhamisho haupo kwa sababu baadhi ya sector, elimu kwa mfano; walimu walioko shuleni wameshamaliza mada zote. Hivyo labda wanaweza kutoa uhamisho pamoja na ajira from January 2017
 
Uhamisho wa Tz huzingatia maslai ya nchi na sio matatizo waliyonayo watumishi. Kwa mtazamo wangu mwaka huu uhamisho haupo kwa sababu baadhi ya sector, elimu kwa mfano; walimu walioko shuleni wameshamaliza mada zote. Hivyo labda wanaweza kutoa uhamisho pamoja na ajira from January 2017
Huweleweki
 
Back
Top Bottom