Calmodulin
Member
- Jun 1, 2025
- 11
- 13
- Thread starter
- #21
Nenda jukwaa la ajira then Kuna Uzi wa kubadilishana vituo, taja halmashauri au sehemu unapofanyia kazi na idara uliyopo na unatamani kuhamia wapi, then ukipata wa kubadilishana nae process nyingine zitafuata
Ahsante kwa ushauri.