Uhamisho Kidato cha Tano

Uhamisho Kidato cha Tano

iddhassan

Senior Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
100
Reaction score
134
Naomba kujua jinsi ya kupata uhamisho kwa mwanafunzi aliyechaguliwa Kidato cha Tano. Mwanangu kachaguliwa Shule ya mbali mno na usafiri wa shida kufika.

Pia, hali ya hewa huko hataweza kuimudu kwani ni baridi kali mno
 
Sema kachaguliwa shule gani na Comb gani kwanzaa ndo upewe ushaurii...!!
 
Taja shule na comb ili uweze kusaidiwa
 
Naomba kuuliza Kama waliofanya uhamisho kabla ya kuripoti walikopangiwa kama majina yameshatoka
 
Ndio, naomba kwa anaejua anisaidie mwanangu mpaka sasa hajui aripoti wapi.
Wee ingia tamisemi angalia selection za 4m 5 2020/2021 then utaingia kweny shule aliyosoma mwanao, utaona kuwa amepangiwa wapi, fanya hivyo haraka iwezekanavyo.
 
Wadau huwa hawajibu maswali ila wao ndiyo wanaulizwa maswali, kazi sana.
 
Naomba kujua jinsi ya kupata uhamisho kwa mwanafunzi aliyechaguliwa Kidato cha Tano. Mwanangu kachaguliwa Shule ya mbali mno na usafiri wa shida kufika.

Pia, hali ya hewa huko hataweza kuimudu kwani ni baridi kali mno
Me nilihamag kabl ya kuripot na nilifany mwenyew sio mzaz ni kitu rahis tu...nenda kwa afisa elimu wa mkoa ambapo unatak ahamie me nilitak nisome dar Ila nilichaguliw pwani so nilienda kwa afisa elimu mkoa pale ilala boma akanip barua nipelek shule ninayotak kuamia nilichagua Tambaza high school...na pia kule nilipochaguliw nilipelek ili wafute jina ...sikuwah kusom kule nilipopangiwa niliham juu kwa juu
 
Hope mwanao anahitimu au ashahitimu mwaka huu.
 
Back
Top Bottom