[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], najua ndo nyie ila nasemaje, TUNAVAMIA BOGI MKITAKA KUFAKipindi wana rudishwa home mlikuwa mnawacheka eti walienda jkt kupoteza muda leo wameitwa kwenye usaili udenda umeanza kuwatoka. Na bado majeshi mengine yanakuja kama magereza, polisi, zimamoto na JWTZ sifa uwe jkt kujitolea.
TUNAENDA MWENYE WIVU AJINYONGE... na nyie mliojitolea mtakosa, kwanza ua hamjui kingereza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wameshasema kabisa kwa intake ya kujitolea na wale waliopo kambini sasa kuna mijitu mingine ilienda sijui mwezi mmoja na nusu sijui miezi mitatu nayo inataka kwenda sasa nasemaje nyie nendeni tu
na wenye degree wa izo op washazd 30 yrz, yaani ntaenda na iv nauli mia 450, kwani mi nakaa mkoaniTUNAENDA MWENYE WIVU AJINYONGE... na nyie mliojitolea mtakosa, kwanza ua hamjui kingereza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazma bog livamiwekumbe kuna "watoto wa mujbu" humu ngoja ntokeeee haraka
Omba Mungu nyie wavamizi msiwe wengi ila mkiwa wengi nakwambia mtatolewa wote watabaki wavamizi wenye connection ila its good kujaribu huwez jua bahati yako ila bado omba msiwe wengi sana kwenye eneo la tukio, coz nna rafiki yangu alikua wakujitolea anakwambia wenye wenye degree na vigezo hivyo hawafiki 300, na hao wanajeshi wanavyopenda kuteteana mmmmm sijui... Jaribu ila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazma bog livamiwe
waliokurupushwa jkt ni wengi mno, nais ni zaid ata ya 3000, sema wengne wako mbali, wengne hal ya uchumi, na pale wanajeshi hawausiki, ila hasa hasa watu wa uhamiaji.Omba Mungu nyie wavamizi msiwe wengi ila mkiwa wengi nakwambia mtatolewa wote watabaki wavamizi wenye connection ila its good kujaribu huwez jua bahati yako ila bado omba msiwe wengi sana kwenye eneo la tukio, coz nna rafiki yangu alikua wakujitolea anakwambia wenye wenye degree na vigezo hivyo hawafiki 300, na hao wanajeshi wanavyopenda kuteteana mmmmm sijui... Jaribu ila
Ila si wanataka wenye shahada na stashahada tu?waliokurupushwa jkt ni wengi mno, nais ni zaid ata ya 3000, sema wengne wako mbali, wengne hal ya uchumi, na pale wanajeshi hawausiki, ila hasa hasa watu wa uhamiaji.
yaani ata wakihusika ua hawana sumu, m nilkuepo usaili wa TPA, hawana sumu, kabisa, omba usiwakute kambini alafu wewe ni kuruti
Mukuje Muone kitakachowapatamazee ka vp tuunde group la watsapp kuna maafisa uhamiaji wawili wamenipa details tukifukuzwa bas, ila twende mazeee, ilmrad atutapgwa, na wala hatuna vyetu fake, na hatupo mkoani yaani hamna hasara
Tambo zote za nn ?? Unajua huu Uzi unapitiwa na watu wa aina gan ?ebu tulia mdogo wangu hata kama una mbanga punguza tambo hiv jkt mnaenda kujifunza upuuzi unaofanya hapa ?? Hii program ya mujibu naona haina faida kabsa kama vijana waonawazalisha ndo wanakua wajinga na wehu kbsa eti na nyinyi muwe viongozi wa badae shame on u..ficha ujinga wako kijanamzee bogi lazma livamiwa na sifa ya mjibu ua ni waoga hatutazidi 10
[emoji122][emoji122][emoji122] waforenishe ivyo ivyo mujibu wenzako ..muje kwa wingi then muone kitakachowapatamazee ka vp tuunde group la watsapp kuna maafisa uhamiaji wawili wamenipa details tukifukuzwa bas, ila twende mazeee, ilmrad atutapgwa, na wala hatuna vyetu fake, na hatupo mkoani yaani hamna hasara
imeisha hamna atakaeenda, naona ajira zmekua mgumu mnataka kututoa pua,Tambo zote za nn ?? Unajua huu Uzi unapitiwa na watu wa aina gan ?ebu tulia mdogo wangu hata kama una mbanga punguza tambo hiv jkt mnaenda kujifunza upuuzi unaofanya hapa ?? Hii program ya mujibu naona haina faida kabsa kama vijana waonawazalisha ndo wanakua wajinga na wehu kbsa eti na nyinyi muwe viongozi wa badae shame on u..ficha ujinga wako kijana
imeisha hamna atakaeenda, naona ajira zmekua mgumu mnataka kututoa pua,
yaani nyie wa kujitolea ata makambini ua hamtupendi kabisa afadhali ya maafande,
basi mimi binafsi msjije kunitoa, uvungu
Azimio la arushaWe ulikua op gani?
Nenda kajaribu bahati yako, usisikilize maneno ya watu humu watakukatisha tamaa tu. Negative thoughts zimejaa kwenye akili za watanzania wengi.Azimio la arusha