UHAMASISHAJI WA KUIGWA

Jan 13, 2018
38
50
Nichukue fursa hii kumpongeza waziri ummy kwa uzalendo ulotukuka.huyu mama nimempenda bure,viongozi wote wangekua hivi naamin timu nyingi zingefanya vizuri.nichukue nafasi hii nimtake waziri wa michezo na mkuu wa mkoa wa kilimanjaro kuiga mfano huu .kuna mikoa timu zao zinazid kudidimia kila mwaka na tatizo linajulikana.viongozi wetu jiongezeni katika kuinua soka letu.kufanya hivo kutawapa vijana ajira na kuwaepusha na mambo mabaya kama utumiaji wa madawa ya kulevya nk .
aa4ad77091b479b1f32993cd3766ebdf.jpg
87c1d247fcc4145edff7a955f9b11678.jpg
91f01c8bc7c3ff6056d67be63354fe7e.jpg
8d0f37bd273532b7c259f486aaa95133.jpg
 
Back
Top Bottom