Abraham Lincolnn JF-Expert Member Joined Apr 12, 2018 Posts 3,189 Reaction score 6,139 Feb 11, 2025 #1 Kabla ya uchaguzi mambo huwa hivi ππ½ Baada ya Uchaguzi mambo huwa hivi ππ½ AKILI KUMKICHWA π
Kabla ya uchaguzi mambo huwa hivi ππ½ Baada ya Uchaguzi mambo huwa hivi ππ½ AKILI KUMKICHWA π
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,056 Reaction score 137,029 Feb 11, 2025 #2 Hii kitaalam inaitwa mtumikie Kaffir upate ujira wako.
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,944 Reaction score 51,078 Feb 11, 2025 #3 Hivi watu wanaopumbazwa na CCM kuwapigia magoti wakati wa chaguzi akili zao huwaje?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,575 Reaction score 89,221 Feb 11, 2025 #4 Tate Mkuu said: Hii kitaalam inaitwa mtumikie Kaffir upate ujira wako. Click to expand... Hapana hiyo inaitwa "amrish kapul".
Tate Mkuu said: Hii kitaalam inaitwa mtumikie Kaffir upate ujira wako. Click to expand... Hapana hiyo inaitwa "amrish kapul".
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,725 Reaction score 196,467 Feb 11, 2025 #5 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
N NGOSWE2 JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 1,424 Reaction score 1,713 Feb 11, 2025 #6 Ipo siku, Mungu anawaona. Sijapenda hiyo kitu.
M O N S T E R JF-Expert Member Joined Sep 26, 2022 Posts 8,780 Reaction score 20,856 Feb 11, 2025 #7 Allen Kilewella said: Hivi watu wanaopumbazwa na CCM kuwapigia magoti wakati wa chaguzi akili zao huwaje? Click to expand... Mtu mwenye akili timamu hawezi kupumbazwa na mwanasiasa yoyote, they're one and the same. Yaani kabisa na akili zako timamu unasimama foleni kumpigia mtu kura, labda kama inajipigia mwenyewe au unampigia mkeo au mzazi wako au mtoto wako.
Allen Kilewella said: Hivi watu wanaopumbazwa na CCM kuwapigia magoti wakati wa chaguzi akili zao huwaje? Click to expand... Mtu mwenye akili timamu hawezi kupumbazwa na mwanasiasa yoyote, they're one and the same. Yaani kabisa na akili zako timamu unasimama foleni kumpigia mtu kura, labda kama inajipigia mwenyewe au unampigia mkeo au mzazi wako au mtoto wako.