Uhalisia wa habari ya kutekwa watoto.

Uhalisia wa habari ya kutekwa watoto.

MAKINYA

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
139
Reaction score
54
Kuna habari imeandikwa na gazeti fulani inasema kuna handaki mabwepande ndani yake kuna nyumba inatumika kuhifadhia watoto waliotekwa.
Habari hii imenitatiza kwa sababu wamesema kuna watoto walipotea tarehe 2 sep na wakafanikiwa kutoroka tar 23 mwez huo huo,baadae wanadai mama wa watoo amelalamika kuwa alikuwa anawatafuta watoto wake miezi mitatu hadi sasa,ukisoma ile habari,wanasema siku ile ya tarehe 23 walikutana na babake wa kufikia wa watoto hao.
Maswali yangu
watoto hao walikuwa wapi toka tar 23:
iko wapi taarifa ya polisi juu ya kutoweka kwa watoto hao au wazazi wao hawakwenda kuripoti polisi.
NB.Isije kuwa ndo kutupoteza kwenye issue ya kapuya
 
ila kweli mkuu,kama walivyotupoteza kwenye issue ya Balali,tangu lini gavana akazikwa ughaibuni? Mi mwenyewe na ufukara wangu nikifa lazima nizikwe nyumbani,hawa jamaa hutufanya sisi mabwege,magamba ni noma,ipo tetesi mitaani kuwa Balali aliuawa na TISS ktk kisiwa cha Malta na maiti yake kuchomwa moto,jamani TISS msije mkaning'oa meno,mi ni mjumbe tu,na mjumbe hauawi,igweeee!
 
Mimi asubuhi niliisikia hii habari kwenye wapo fm. Huyo mtito akamuina baba yake wa kufikia barabarani...!
 
I think she wanted to say 3 Weeks or even she said so (3 Weeks) but the reporter quote her wrong/typing errors.

(NB: 3 Weeks Equals to 21 days. 21 days+2 September=23 September).
 
Walijuaje kule kwenye handaki walikokuwa ni mabwepande je walikuwa wanakufahamu kabla au waliambiwa na aliyewapakiza kwenye gari?
 
Walijuaje kule kwenye handaki walikokuwa ni mabwepande je walikuwa wanakufahamu kabla au waliambiwa na aliyewapakiza kwenye gari?

Hata hivyo, hakuna msitu wa mabwepande, eneo.lote la mabwepande ni makazi ya watu...... Kwa habari kama hii gazeti linapaswa kuwajibika, MCT sijui.wako wapi
 
Hata hivyo, hakuna msitu wa mabwepande, eneo.lote la mabwepande ni makazi ya watu...... Kwa habari kama hii gazeti linapaswa kuwajibika, MCT sijui.wako wapi
Mkuu msitu wa mabwepande upo na ni hifadhi ya serikali. Ila habari yenyewe inatia mashaka hasa jinsi wale watoto walivyotoka pale mpaka wanakutana na baba yao.
 
Tatizo ni waandishi wetu maka njanja ila ihii habari nia ya kweli watoto walipotea toka tarehe 3sept wamepatikana jumamos 23 nov,,, wahandishi wetu wanakurupuka uwa awataki kutumia akili ya ziada wanapo hoji wahusika wenyewe wakiwa na tape record wameshamaliza kila kitu....

Mzazi mmoja wa ao watoto <mama> tunasali nae kanisa la TAG amani christian centre lipo tabata magengeni ukifika hapo utaelekezwa lilipo kwa urahisi na jumapili asubuhi ndipo tulipopata taarifa za kupatikana kwa watoto,ni muda mrefu sana huyu mama aliomba wahirika wamuombeee kapotelewa na watoto ,watu waliomba hadi ilifikia sehemu wakawa wameshasahau kwa sababu akukuwepo na dalilizozote za kupatikana ila vituo vingi vya police liliripotiwa ....
Ni wajibu wa jeshi la police lije na majibu ya kujitosheleza ...nikifanikiwa kupata maelezo zaidi na pict nitaziweka....
 
Intelijensia ya Polisi imepwaya sana hadi linatangazwa kwenye vyombo vya habari unategemea nini hao watekaji watasubiri kukamatwa? Pili usalama wa watoto katika operasheni kuwaokoa kama tayari imeshatangazwa itakuwa ngumu kiasi gani? Tusubiri kuona yale ya WestGate Mall.
 
Mhm! sasa habari mbaya kama ile ipikwe kwa sababu ya katiba ua Kapuya...mhm, haiwezekani, itakuwa ina ukweli fulani jamani.
 
Intelijensia ya Polisi imepwaya sana hadi linatangazwa kwenye vyombo vya habari unategemea nini hao watekaji watasubiri kukamatwa? Pili usalama wa watoto katika operasheni kuwaokoa kama tayari imeshatangazwa itakuwa ngumu kiasi gani? Tusubiri kuona yale ya WestGate Mall.

Mkuu ninaamini jeshi la polisi halinania ya dhati ya kupanbana na watekaji hawa na ni hatari kwa watoyo walio tekwa kwani ni lazima watekaji watawapoteza hao watoto ili kupoteza ushahidi any way labda hawa ma sie sio mie wamebadili matumizi ya msitu wa mabwepande
 
Back
Top Bottom