Uhalisia tarehe ya Yesu kuzaliwa

MUSHEKY

JF-Expert Member
May 9, 2014
2,812
2,761
Wapendwa,

Nitangulize salaam,

Ila kwa kwenda tu straight ni kwamba wengi wetu tunatambua kwamba tarehe kamili tunazozitumia sasa zimeanza rasmi siku Kristo alipoingia duniani B.K lakini kinachonichanganya hapa ni kwamba Yesu alizaliwa tar 25 Disemba na mwaka mpya ni tar 1 Januari.

Naomba ufafanuzi kwenye hili mana nimejaribu kuuliza wajuzi wengine wanadai pengine alizaliwa tar 1 Januari mana hata katika bibble hiyo birthday ya 25 Disemba haipo kabisa.

Naomba msaada, natanguliza shukrani
 
Mbona kama hueleweki unataka kueleweshwa nini...
Moja ....kwamba yesu alizaliwa 25 december kwa ushahid wa biblia na pili kwamba tarehe tunazofuata ni kweli zinatokana na siku hiyo ya kuja kwake duniani?
 
Hizi thread za kila ikifika Christmas tumeshazichoka.


Siku moja unatenga muda na kuanza kuzisoma thread zilizopita uone wenzio walijadiri nini.
 
Back
Top Bottom