Uhalisia: Magufuli aapishwe tu!

TUKIWEKA USHABIKI PEMBENI;-
Jahazi la Lowassa linazama. Wengi wamemgeukia Magufuli. My simple analysis huku mitaani inaonesha Lowassa kapoteza wafuasi wengi ndani ya muda mfupi. Magufuli kishapita kweupe.
Kwa nini asiapishwe mapema?

Last edited by a moderator:
TUKIWEKA USHABIKI PEMBENI;-
Jahazi la Lowassa linazama. Wengi wamemgeukia Magufuli. My simple analysis huku mitaani inaonesha Lowassa kapoteza wafuasi wengi ndani ya muda mfupi. Magufuli kishapita kweupe.
Kwa nini asiapishwe mapema?
Nyie endeleeni kujitekenya tu..
 
TUKIWEKA USHABIKI PEMBENI;-
Jahazi la Lowassa linazama. Wengi wamemgeukia Magufuli. My simple analysis huku mitaani inaonesha Lowassa kapoteza wafuasi wengi ndani ya muda mfupi. Magufuli kishapita kweupe.
Kwa nini asiapishwe mapema?

We ndo una ushabiki kwa taarifa yako. Tayari una mtu unae mshabikila. Kwahio hata uzi wako ni wakishabiki. Kwa heli!
 
TUKIWEKA USHABIKI PEMBENI;-
Jahazi la Lowassa linazama. Wengi wamemgeukia Magufuli. My simple analysis huku mitaani inaonesha Lowassa kapoteza wafuasi wengi ndani ya muda mfupi. Magufuli kishapita kweupe.
Kwa nini asiapishwe mapema?

Aiiseeeh!! Wewe una akili sana, inaonekana ulizaliwa cku ya jumatatu big-up nakuunga mkono 800% Rais ni Magufuli asiempenda achimbe shimo ajifukieeee.....
 
Wenzako hawalali wanafanya kampeni usiku na mchana sasa wewe una kenyeka huku wenzako wakipigania mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…