Uhalisia: Magufuli aapishwe tu!

Someni namba1234567890 ndio uhalisia Dr Magufuli ndie Rais wetu. Gunia la kinyesi haliuziki

avue atuonyeshe kama tayari asitujazie inzi ikulu .
alipiga pushapu kuonyesha afya bora jukwaani avue jukwaa tuone
 
TUKIWEKA USHABIKI PEMBENI;-
Jahazi la Lowassa linazama. Wengi wamemgeukia Magufuli. My simple analysis huku mitaani inaonesha Lowassa kapoteza wafuasi wengi ndani ya muda mfupi. Magufuli kishapita kweupe.
Kwa nini asiapishwe mapema?

OK acheni kuendelea na Kampeni fanyeni maandalizi ya kumwapisha haraka
 
TUKIWEKA USHABIKI PEMBENI;-
Jahazi la Lowassa linazama. Wengi wamemgeukia Magufuli. My simple analysis huku mitaani inaonesha Lowassa kapoteza wafuasi wengi ndani ya muda mfupi. Magufuli kishapita kweupe.
Kwa nini asiapishwe mapema?

Aapishwe kwamba hatouza tena nyumba za serikali?
 
Wataja sana kinyesi weye, nadhani ukoo wako wa bata!

Vijana wengi wanaoiunga mkono ukawa ni wavivu wa kufikir hawana hoja wanabwabwaja matusi tu ndo mana wanaburuzwa tu
 
Ukiona wakongwe kama Mdee,Mnyika,Lissu, nk wamezamia ujue mtumbwi umetobolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…