hapo kwenye red ningefanya uamuzi tofauti.Jana nlianzisha thread kuuliza wale ambao bado hawajoa/olewa kama wangependa kufanya hivyo mbeleni na kama ni ndio au sio kwanini??!
Majibu niliyopata yalikua yanatofautiana kwanzia waonataka kuwa na watu wa kushea nao maisha....mpaka wanaotaka kupendeza tu siku ya harusi na wa wanaotaka security!!
Nikajikuta najiuliza kwa wale ambao wapo kwenye ndoa je nini kilichowashawishi na je walipata yote waliyotarajia na kutamani kuyapata
kwenye ndoa???!
Kwahiyo naomba niwaulize kwa faida ya wale wote tuliopo nje...
...Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??!
...Baada ya kuingia mambo yalikua kama ulivyotarajia!?
...Kama mambo yalikua tofauti na matarajio yako je ni kwa uzuri au kwa ubaya???!
...Umewahi kujuatua au kushukuru Mungu kumchagua uliyemchagua???!
...Ungepata nafasi ya kurudi miaka kadhaa nyuma mpaka ulipokua unaamua kufungwa pingu za maisha ukiwa inajua kila kitakachotokea mbeleni ungefanya uamuzi tofauti na uliofanya???
Please tupeni experince tujifunze kabla hatujaingia huko na matarajio kibao alafu tushindwe kuvumilia hali halisi!
hapo kwenye red ningefanya uamuzi tofauti.
Jana nlianzisha thread kuuliza wale ambao bado hawajoa/olewa kama wangependa kufanya hivyo mbeleni na kama ni ndio au sio kwanini??!
Majibu niliyopata yalikua yanatofautiana kwanzia waonataka kuwa na watu wa kushea nao maisha....mpaka wanaotaka kupendeza tu siku ya harusi na wa wanaotaka security!!
Nikajikuta najiuliza kwa wale ambao wapo kwenye ndoa je nini kilichowashawishi na je walipata yote waliyotarajia na kutamani kuyapata
kwenye ndoa???!
Kwahiyo naomba niwaulize kwa faida ya wale wote tuliopo nje...
...Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??!
...Baada ya kuingia mambo yalikua kama ulivyotarajia!?
...Kama mambo yalikua tofauti na matarajio yako je ni kwa uzuri au kwa ubaya???!
...Umewahi kujuatua au kushukuru Mungu kumchagua uliyemchagua???!
...Ungepata nafasi ya kurudi miaka kadhaa nyuma mpaka ulipokua unaamua kufungwa pingu za maisha ukiwa inajua kila kitakachotokea mbeleni ungefanya uamuzi tofauti na uliofanya???
Please tupeni experince tujifunze kabla hatujaingia huko na matarajio kibao alafu tushindwe kuvumilia hali halisi!
hhahahahhahahhaha imenibidi kwanza nicheke.
1 Mie niliolewa kwa sababu nilimpenda/tulipendana,
2 Na huku ndani hakika inakuwa ni ngumu kwa kile nilichotarajia kukipata nipata 100%
3 Mara nyingi namshukuru Mungu kwa kunipa mume huyu, japokuwa mara chache nasema laiti ningejua, au Mwenyezi Mungu angekuwa anaonyesha kesho itakuaje, (sababu kila mtu anamapungufu yake) na kukwaruzana kupo
Kwahiyo wanajutia??!!Aiseee mi sitaki kua na mtu alafu ajutie!!!Sorry to say this,kwa wanawake sijui lakini asilimia kubwa ya wanaume tunapokuwa vijiweni kwetu tunapiga ulabu mazungumzo huwa ni yale yale......utasikia 'yaani aisee itokee mi na waif tuachane wallah sioi tena' na wakati mwingine kwenye group kama kuna member ambaye kamtaliki mkewe na hajaoa tena utasikia..'heri yako bwana maana sisi lol'.....au utasikia wanamwambia .....'aisee usioe
tena...'.Nisameheni bure kinamama lakini
hapa nimeeleza uzoefu wangu kwenye
mazungumzo ya kina baba,AshaD najua
nimekukwaza because you sound happy in
your marriage,lakini mimi naeleza
ninachosikiaga.
BE hichi ni kizazi cha kutafakari bwana...hata kupata watoto watu wanapanga mwaka mzima wakati zamani ni kuzaa tu!!Yote hiyo ni kwasababu ndoa za siku hizi nyingi ni ili mradi tu.....na mimi sitakua kua kwenye kundi la wanaoolewa ili mradi!!Lizzy,
Nina wasiwasi na unakoelekea sasa!
Ndoa zoote uwa inatokea kama ajali - Hakuna watu waliofunga ndoa baada ya kufanya tathimini kama unazofanya - No, Never.... Ndoa haina KPI wala Bench-Marking, Not at all ... Normally, Ndoa ni mwanzo mpya - Ni kama unavyozaliwa - Hakuna aliyetuma maombi kwa Baba na Mama yake kuwa atungwe mimba na kuja dunia - It is simply natural... Sijui kama ulishawahi kufikiri kuwa "Ni heri usingezaliwa.."
Sorry to say this,kwa wanawake sijui lakini asilimia kubwa ya wanaume tunapokuwa vijiweni kwetu tunapiga ulabu mazungumzo huwa ni yale yale......utasikia 'yaani aisee itokee mi na waif tuachane wallah sioi tena' na wakati mwingine kwenye group kama kuna member ambaye kamtaliki mkewe na hajaoa tena utasikia..'heri yako bwana maana sisi lol'.....au utasikia wanamwambia .....'aisee usioe tena...'.Nisameheni bure kinamama lakini hapa nimeeleza uzoefu wangu kwenye mazungumzo ya kina baba,AshaD najua nimekukwaza because you sound happy in your marriage,lakini mimi naeleza ninachosikiaga.
Lizzy,
Nina wasiwasi na unakoelekea sasa!
Ndoa zoote uwa inatokea kama ajali - Hakuna watu waliofunga ndoa baada ya kufanya tathimini kama unazofanya - No, Never.... Ndoa haina KPI wala Bench-Marking, Not at all ... Normally, Ndoa ni mwanzo mpya - Ni kama unavyozaliwa - Hakuna aliyetuma maombi kwa Baba na Mama yake kuwa atungwe mimba na kuja dunia - It is simply natural... Sijui kama ulishawahi kufikiri kuwa "Ni heri usingezaliwa.."
ndivyo inavyoonyesha..Kwahiyo wanajutia??!!Aiseee mi sitaki kua na mtu alafu ajutie!!!
Hujanikwaza Bishanga... Mi naelewa how baadhi ya minds za wanaume zilivyo, hasa mume wangu na najua akiwa kijiweni atasema kama hao wakaka wengine... We ni mwanaume na naamini unaelewa hakuna anae brag kua oo mke wangu anafaa sana au vipi.. Mimi kua na furaha na amani katika ndoa yangu haimanishi nayeye ni hivyo hivyo - ukute kujitahidi kwangu kote anaona sawa tu na ndo kwanza ana mwanamke nje... But sababu hajanionesha kitu chochote cha kunifanya niwe na wasi; saizi am content ...
Na Bishanga note kua most ya hao wakaka wakijiweni wakipata matatizo ya ndoa wako makini kutatua matatizo kuepusha kuvunjika kwa ndoa...