Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,309
- 271,639
Kumbe wote walikamatwa Mitaani huku wengine wakitekwa.
Wakatishwa n.a. kupewa masharti kwamba wakikubali kuwa Mashahidi wa kumkandamiza Lissu watakuwa salama
Taarifa zingine zinaeleza kwamba wamo waliokamatwa kwa Ujambazi n.a. Ubakaji lakini Baada ya kukubali Sharit Hilo la kikatili kesi zako zilifutwa. (Nifae Leo ili nikufae kesho)
Tangu niipate akili sijawahi kuona mkakati wa kibwege kama huu