Uhakiki wa vyeti wanikosesha kazi na wasababisha mke wangu kuniacha

Ni wengi wamekutana na hali kama yake, na mwaka jana seriakali yenyewe haijaajiri wako waalimu na madaktari awamu tatu hawajapangiwa kazi na ni fani nyeti achilia mbali sheria ambayo sio sensitive kwenye huduma za jamii kama madaktari na waalimu.

kilio chake ni kukimbiwa na mke. swala ambalo anapaswa kuelewa kuwa wanawake wengine wanakuwaga na malengo yao binafsi na kama kakukimbia kwenye shida unajutia kula naye hela za mkopo na ujana unatakiwa kuachana nalo hilo wazo na kutafuta mke mwingine MBONA WANAWAKE WENGI SANA WANAKESHA KUOMBA WAOLEWE. wanaume wengi tunatabia ya kulilia wanawake tuliokula nao bata ujanani lakini tunapaswa kuelewa mengine tukubali tu,yeye anapenda maisha mazuri kama kakukimbia kaacha mpaka watoto na pengine kwao hayopo jua yuko kwa wanaume wengine wenye nazo.yeye anampenda atafute hela amtafute au aowe mwingine.
Nimekupata mkuu
 
Yaani hata kama huyo mke angekuwa ni ndugu yangu, ningemwambia akuache mara moja. Mwanaume gani umekalia kulia lia kila siku kwenye mitandao. Nikuulize swali, darasani kwenu mlikuwa wangapi, na ni wangapi ambao mlikuwa mmeajiriwa na serikali, na je, hao wengine wamekuwa wanafanya nini mpaka sasa?, Je, unafikiri wewe ndo mwenye haki zaidi kuliko hao wengine ya kupata ajira serikalini?.
Achana na huu ujinga wa kulia lia, ukiendelea kulia lia bila ya kuchukua jukumu la kiume na kusimama ili uweze kuitunza familia yako, watu watakugongea mke wako mpaka ataolewa na mtu mwingine, ajabu anaweza wala siwe mtumishi serikalini.
Umeshaambiwa, ajira zikitangazwa, omba tena, sasa wasi wasi wako ni nini?? Merits zilizokufanya uajiriwe hapo awali zitakufanya uajiriwe tena safari hii. Labda uniambie kuwa ulipata hiyo ajira kwa mchongo, hapo itakuwa imekula kwako. Ikumbukwe kuwa kilichochukuliwa kutoka kwako ni ajira, na si elimu yako.

Mwisho kabisa nikuambie kuwa, wewe ni mwanaume, na mpaka umezaa watoto watatu, tambua kuwa ni jukumu lako kulea hiyo familia yako na si jukumu la mtu mwingine yeyote yule wala serikali. Na familia yako inapo sambaratika, wa kulaumiwa ni wewe mwenyewe na si mtu mwingine, kwakuwa wakati unaoa na kupata hao watoto hakuna mtu mwingine yeyote aliekuja kukusaidia.
Unachukulia Vitu simpo simpo eeeh!!! Unafikiri kila mtu ni wewe???
 
Ni wengi wamekutana na hali kama yake, na mwaka jana seriakali yenyewe haijaajiri wako waalimu na madaktari awamu tatu hawajapangiwa kazi na ni fani nyeti achilia mbali sheria ambayo sio sensitive kwenye huduma za jamii kama madaktari na waalimu.

kilio chake ni kukimbiwa na mke. swala ambalo anapaswa kuelewa kuwa wanawake wengine wanakuwaga na malengo yao binafsi na kama kakukimbia kwenye shida unajutia kula naye hela za mkopo na ujana unatakiwa kuachana nalo hilo wazo na kutafuta mke mwingine MBONA WANAWAKE WENGI SANA WANAKESHA KUOMBA WAOLEWE. wanaume wengi tunatabia ya kulilia wanawake tuliokula nao bata ujanani lakini tunapaswa kuelewa mengine tukubali tu,yeye anapenda maisha mazuri kama kakukimbia kaacha mpaka watoto na pengine kwao hayopo jua yuko kwa wanaume wengine wenye nazo.yeye anampenda atafute hela amtafute au aowe mwingine.
Asante mkuu good ideas
 
aisee, naona hakuna uhalisia kwenye story yako.
umeajiliwa june 2016 una watoto 3. uyo mkeo ulishakua nae kitambo. suala la kusema amekuacha eti ulimdanganya kuhusu ajira si sahihi.
maisha yakiwa magumu mwanaume hutakiwi kulia. we ukilia mkeo afanyaje sasa?
ulishakua na maisha hadi kupata watoto wote hao. miezi sita haikufanyi ukose pa kuanzia.
wanaume tuache kulia lia. suala la mwanaume kula kwa jasho si nadharia.
Nimefurahi ulivyomtambua mapema, inaonyesha jamaa adanganya. Kwani kabla ya kazi kwa nn hakukimbia huyo mwanamke
 
Huyu bwana licha ya maneno yake ya ajabu, ukweli hili tukio wengi wanalilalamikia. Watu walilipa pesa zao wakasafiri, waliacha kazi na walianza kazi.
Kikubwa huyu bwana kaweka tatizo wazi. Angeacha kelele huenda watu wangempa kazi. Hata hivyo ninaheshimu na kuyathamini machungu ayapatayo. Natuma Mungu atamsaidia
 
Mimi ni miongoni mwa vijana 3000 tulioajiriwa mwezi June 2016 ,niliajiriwa na tume ya utumishi wa mahakama Tanzania kwenye mahakama ya wilaya nilipewa mkataba wa kazi na kuanza kufanya kazi na wenzangu tulioajiriwa kwenye kanda ya mahakama tulikuwa watu 348, tulipewa mikataba na barua za kazi na tulianza kufanya kazi baada ya kufanya kazi mwezi mmoja tulipewa barua za kusitishiwa ajira zetu kwa mda ili kupisha zoezi LA uhakiki wa watumishi hewa tulipowauliza maafisa utumishi wa mahakama kuwa lini wataturudisha kazini ?walitujibu kuwa uhakiki wa watumishi hewa ukiisha tutarudishwa kazini toka mwaka Jana mwezi wa sita 2016 tupo nyumbani hatupewi taarifa yoyote na wala hatujui hatima yetu tupo na mikataba ya kazi na barua za kupangiwa vituo vya kazi maisha yamekuwa magumu.

Kwa masikitiko makubwa mke wangu ameniacha katoro anasema kuwa nilimdanganya sikuajiriwa na serikali kwenye idara ya mahakama ameniachia watoto watatu wadogo mmoja ananyonya kisa mimi nimesimamishwa kazi kwa mda usiojulikana nimeaibika kwenye jamii maana niliaga na kuwatarifu ndugu zangu kuwa nimepata ajira kwenye mahakama sasa hivi ukoo unajua kuwa niliwadanya kabisa ukoo unaniongea vibaya kuwa niliwadanganya kuwa nimeajiriwa kumbe hakuna nalia sana na aibu hii iliyosababishwa na serikali majirani kila siku wananiulizia kuhusu ajira Yangu hii maana walijua kuwa nimeajiriwa nashindwa kuwajibu nini nalia tu rais magufuli ,katibu mkuu utumishi wa umma, waziri angellah kairuki mmenifanyia unyama huu mungu yupo.

Baada ya kupangiwa kazi kigoma nilipanga chumba nikahamisha na mizigo Yangu kutoka geita mpaka kigoma kwa gharama zangu niliposimamishwa kazi sikupewa pesa za kurudisha mizigo hiyo hivyo niliiacha kigoma na nikarudi geita na mke wangu na watoto wangu tulianza kulala chini ya cement maana magodoro tuliyaacha kigoma kwenye nyumba ya kupanga nimelala chini na mke wangu na watoto mpaka mke wangu ameshindwa kuvumilia maisha haya mwishoe kanitoroka nalia na watoto nifanyeje kisa nimesimamishwa kazi bila kosa bora wasingeniajiri nisingehamisha mizigo Yangu na ningeendelea na maisha na familia Yangu Kodi ya nyumba imeisha huko kigoma nilipoacha mizigo Yangu mwenye nyumba anataka kuuza vitu vyangu ili apate fedha yake ya kodi inauma sana tena .

Serikali imekoswa huruma kiasi hiki omba yasikukute haya yaliyonipata .
Pole sana ndugu yangu, inasemekana eti Rais ana nia nzuri sana na Watanzania. Mimi najaribu kujiuliza kama ana nia nzuri na wananchi hasa wa hali ya chini mbona wao ndiyo wanalia sana maisha magumu? any way ngoja tusubiri tuone mwisho wake amebakiza miaka 3+ ya kua Rais wa nchi hii, nikilala nikiamka nahesabu siku zilizobaki za utawala wake.
 
Asante mkuu
 
Huyu bwana licha ya maneno yake ya ajabu, ukweli hili tukio wengi wanalilalamikia. Watu walilipa pesa zao wakasafiri, waliacha kazi na walianza kazi.
Kikubwa huyu bwana kaweka tatizo wazi. Angeacha kelele huenda watu wangempa kazi. Hata hivyo ninaheshimu na kuyathamini machungu ayapatayo. Natuma Mungu atamsaidia
Asante sana mkuu yaani watanzania hawana huruma hata kidogo
 
Pole sana,Kuhusu Mke ,Wewe hukuwa na Mke Bali ulikuwa na galasa lisilo na faida ,Haiwezekani apende raha tu,
 
Mkuu kumbuka ukimwambia ndugu mmoja tu naye anamwambia mwingine nashindwa kuelewa aise ila asante kwa ushauri
Kama umeweza kuelezea umu inamaana kila umuonae unamuambia....sio kila anaekusikiliza anasikitika kwa unayo yspitia....kaa kimya na mkeo muache mana nw kesha amua mwache kwanza....pambana na mambo mengine nw ndio mda wa ww kufanya kazi kama punda....fight usilalamike mambo magumu kwa kila mtu.
 
Noted
 
Back
Top Bottom