Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,492
- 2,361
Safari hii vigogo wameshikwa pabaya maana JPM hana roho kama ya yule mwingine, hata anapoongea unamuona usoni kuwa amemaanisha anachokisema hata kama kina matokeo hasi kwa wananchi. Si mnakumbuka suala la mizani na malori, mnakumbuka jengo la Tanesco ubungo?
Si vyema kuwataja hapa maana mijadala mingi inaendelea hapa JF kwa baadhi yao. Na kinachowaogopesha zaidi Mh. siku hizi ni kama vile anapitia hapa mara kwa mara hata ukisikiliza majibu yake juu ya maneno ya mitandao ya kijamii utagundua kuna mfanano na hoja zilizoko hapa kwa hiyo mtu akitajwa hapa moja kwa moja habari inafika mjengoni.
Tuendelee kuisoma namba kwa pamoja