- Thread starter
- #21
Elf 3 Rita,elf 3 stationery,500 scanningHv cheti kimoja ni kiasi gani kihakiki na cha kuzaliwa garama ni hyo hyo na kile cha kifo?
Elf 3 Rita,elf 3 stationery,500 scanningHv cheti kimoja ni kiasi gani kihakiki na cha kuzaliwa garama ni hyo hyo na kile cha kifo?
Haya majinga dawa yao alikuwa Magufuli tu now yame relax yanasubiri rushwa kama una haraka zako utoe rushwa!RITA hawako serious na kazi Yaani tokea tar 18/06/2021 hadi leo 01/07/2021 hakuna chochote ukiwauliza wanachokisema hata hata hakiingii akilini.