Duuu...aisee hapo sasa ndo nimeelewa maana ya msemo Wa "kampa , kampa tena".
Yaani wamehakiki weeeee...mwisho Wa siku wanakuja kuhakiki tena na vitambulisho vya NIDA duuu, naona dalili za kubaki watumishi wahakiki tu maana naona hapa nia sio kutafuta watumishi hewa ila kutafuta kupunguza watumishi waliopo.
Kama ishu ni malipo ,basi watangaze hata watu wataoweza kujitolea tu kuliko kuwa na tatizo la watumishi na bado unazid kuwachanja hao hao wachache waliopo, mwisho utajikuta umebaki mwenyewe tu.