Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,465
Wadau,Nimetoka benk kuchukua mshahara,nyongeza mpya ya mshahara kwa waalimu wa digiri ngazi ya tgts D1 kwa take home imeongezeka sh 42400/
JIONEE MWENYEWE MAZINGAOMBWE YA JK NA SERIKALI YAKE.
acha kulalamika .....2015 say no to ccm.

Nimeiona yangu ka yako,ila bosi wetu hataki masihara extra duty laki4 kila mwezi uhakika.Sasa wafundishe wanafunzi kuichukia serikali na CCM
acha kulalamika .....2015 say no to ccm.
Mwalimu wangu hiyo sio nyongeza bali ni CPI imepanda na mwaka huu ni kama 11.4..%, hebu piga mahesabu kidogo kutoka mshahara wako wa mwaka jana kama hutapata hiyo percent? bado serikali yenu inakufanyieni usanii tu na dawa au fimbo nzuri mliyonayo ni nyinyi kuikataa serikali ya CCM na kuweka dozi ya kutosha kwa wanafunzi wenu nao waikatae CCM 2015
Hizi kodi mpya za simu, ndo zitakazosaidia kwenye ongezeko la gov expenditure by 6.1%Mkuu ebu angali vizuri unaweza kuwa hujaongezewa mshahara kabisa. Tuki assume minmum wage imebakia kuwa same, halafu PAYE imeshuka kutoka 18 hadi kumi na Tatu 5% utakua na increase in net income by 5%
Kama kima cha chini kimeongezwa kwa 6.1% ina maana kiasi kilichoongezeka hakina kodi yeyote so net effect ya msharahara is equal to increase in minimum wage increament.
Total effect effect 11.1% kwa maana nyingine mshahara umeongezeka kwa serikali kuongeza expenditu ya 6.1% (increase in min wage)
....Ukinicheka shambani nitakucheka sokoni TUKUTANE KWENYE NECTA RESULTS.