Uhai wa chadema 2014

Uhai wa chadema 2014

Mkuu JGG, Ninsaikitika kwamba watu munaendela kushabikia siasa za kifitina za Zito ndani ya CHADEMA, fitina za Zito zilisababisha CHADEMA ikose wabunge mkoa wa Kigoma isipokuwa yeye Zito tu, pia wagombea wa ubunge kupitia CHADEMA waliokuwa marafiki wa Zito kulikuwa na tetesi kuwa waliuza ushindi wa kwa maccm. Mfano ni: Mtela Mwampamba,Sambwee Shitambala, Habib Mchange, Wlson Ngambaku na orodha inaendeleea.......Zito ni mission ya maccm ndani ya CHAEMA ndiyo maaa mikutanoanayofanya kwa mogongo wa kuimrisha chama anafanya kivyakevyake kukiimalisha chama atakacho kimega kutoka CHADEMA.
 
Zitto anasubiri hoja ya mgombea binafsi katika katiba mpya ili apeperuke na ndo maana anajitahid sana kujenga jina na sio chama.
 
Zitto Hatarini Kuuawa CHADEMA!

Zitto Hatarini Kuuawa CHADEMA!
YADAIWA ILIPANGWA ANYWESHWE SUMU HOTELINI, DK SLAA ATAJWA KUMTUMA SAANANE KUMMALIZA, MWENYEWE AKANUSHA, ASEMA NI SIASA CHAFU TISHIO la kuuawa kwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe,
sasa limechukua sura mpya, baada ya
kuibuika kwa madai mapya kuwa Bosi
wake, Dk. Willbrod Slaa, alipanga njama
za kumuangamiza, MTANZANIA Jumatano linaripoti. Duru za habari zinaeleza kuwa Zitto,
ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma
Kaskazini na Naibu Kiongozi wa
Upinzani bungeni, anadaiwa alitaka
kuuawa kwa sumu na Katibu Mkuu wa
chama hicho, Dk. Slaa, ambaye alimtumia kada na Mjumbe wa Baraza la
Vijana la Chadema (BAVICHA), Ben
Saanane, kutekeleza mpango huo. Habari zinadai kuwa tukio hilo
lilipangwa kutekelezwa Mei mwaka
jana, katika Hoteli ya Lunch Time, iliyoko
Mabibo External, jijini Dar es Salaam. Kwamba Zitto alilengwa kuuawa kwa
kuwekewa sumu kwenye kinywaji chake
wakati akiwa kwenye mazungumzo na
baadhi ya makada vijana wa chama
hicho katika Hoteli ya Lunch Time. Mmoja wa watu waliokuwa katika tukio
hilo amelieleza MTANZANIA Jumatano
kuwa Zitto alinusurika baada ya
aliyetumwa kumuwekea sumu hiyo
kuidondosha na hivyo kuonekana kwa
watu waliokuwa eneo hilo. Anamtaja mtu aliyetumwa kumuua Zitto
kuwa ni Ben Saanane, ambaye
aliangusha karatasi ya nailoni iliyokuwa
na ungaunga unaosadikiwa kuwa sumu
na kuonekana kwa watu waliokuwa
eneo hilo, akiwemo Zitto mwenyewe pamoja na aliyekuwa Naibu Mwenyekiti
wa Bavicha, Juliana Shonza na Mtela
Mwampamba. Akizungumza na MTANZANIA Jumatano,
Shonza alikiri kutokea kwa tukio hilo
kwa kueleza kuwa yeye na Mwampamba
walihoji kilichokuwa ndani ya nailoni ile,
ambacho kilionekana wazi kuwa ni unga
unga ni nini, ambapo Saanane alikiri kuwa ilikuwa sumu ambayo alipewa na
Dk. Slaa, ili amuwekee Zitto. Shonza alidai kuwa siku ya tukio, yeye
na Zitto walikuwa wamekaa meza moja
na Saanane ambaye mkono wake wa
kushoto ulikuwa umefungwa bandeji
aliyowaeleza kuwa aliifunga kutokana
na maumivu ya mkono. Alisema wakiwa katika maongezi, huku
Saanane akionyesha kuzidiwa na kilevi
alichokuwa amekunywa, alitoa bahasha
ya kaki yenye fedha ili alipie gharama za
vinywaji vya wote ambayo ilidondoka na
ndani yake ikatoka karatasi ndogo ya nailoni ikiwa na unga mwekundu. Kwa mujibu wa Shonza, Saanane
alipobanwa aeleze unga ule ulikuwa
nini, awali alidai ni kilevi aina ya kuberi,
huku akiwataka wasiifungue nailoni
hiyo, jambo ambalo Mwampamba
alilikataa na kulazimisha ifunguliwe pale pale. “Kwa hasira Ben alitaka arudishiwe ile
karatasi, lakini, Mwampamba aliondoka
nayo, usiku huo huo Saanane alimtafuta
Mwampamba hadi nyumbani kwake
akidai apewe mzigo wake. “Mwampamba alimwambia atampa
mzigo wake kwa sharti moja tu la
kusema ukweli kuhusu kilichomo ndani
ya nailoni hiyo na hapo ndipo Ben
alipokiri kuwa alipewa mzigo huo
ambao una unga unga wenye sumu na Dk. Slaa, ili amuwekee Zitto kwa sababu
amekuwa akimsakama ndani ya vikao
vya chama. “Huo ndiyo ukweli ambao nitausema
popote, sasa kama Ben alitudanganya
kwa kumsingizia Dk. Slaa hiyo ni juu yao
wenyewe,” alisema Shonza. Shonza alisema hali hiyo iliwaogofya na
kuanza kuwa makini katika mapito yao
na kuongeza kuwa Zitto bado yuko
Chadema kwa sababu ana roho ngumu,
mvumilivu na mkomavu wa kisiasa,
anayeweza kukabiliana na mambo ya hatari. Dk. Slaa alipoulizwa na MTANZANIA
Jumatano kuhusu madai hayo, alisema
hilo ni kosa la jinai, ambalo kama
anatuhumiwa kulifanya anapaswa
kushtakiwa kwenye vyombo vya dola
badala ya tarifa hizo kupelekwa katika vyombo vya habari. “Usipende kutumiwa na watu, lakini
aliyekutuma anajua amekutuma kwa
sababu gani. Sasa nitakujibu, hivi suala
la kuua si ni jinai? Sasa suala la jinai
linapelekwa kwenye vyombo vya dola au
kwenye vyombo vya habari ?. Huyo aliyesema yuko Chadema au yuko
wapi? Aliyesema hakwenda polisi ?. Aliyetaka kuuawa hakwenda pia? Sasa
ninyi media mmekuwa nani? “Wa kumuuliza suala hili ni Saanane
mwenyewe au Shonza, wangekuwa na
nia njema wangekwenda polisi au Zitto
mwenyewe angekwenda polisi kushitaki
kwa kutaka kuuawa,” alisema Dk. Slaa. Naye Saanane ambaye amefanya
mahojiano na MTANZANIA Jumatano
kuhusiana na mambo mbalimbali
mabaya ambayo yamekuwa
yakielekezwa kwake, akizungumzia
madai hayo alisema madai hayo hayana ukweli wowote, bali yanaibuliwa sasa na
mahasimu wake kisiasa kwa lengo la
kutaka kumshusha baada ya majaribio
mengi dhidi yake kushindwa. “Kwanza siku ambayo wanasema
tulikuwa wote mimi sikuwa huko,
nashangaa na haiingii akilini kwamba
mimi niende hadi Temeke (kwa
Mwampamba) tena usiku wa manane
kwa ajili ya kufuata sumu ya kuulia panya. “Hizi ndizo siasa halisi za maji taka,
kuliko nipange njama za kuua mtu kwa
malengo ya kisiasa, ni bora niache siasa. Ni mwendawazimu pekee atakayeweza
kuamini tetesi hizi za ovyo kabisa
zinazofanywa na vijana walioshindwa
kujenga hoja za maana kwenye
majukwaa,” alisema Saanane. Aliwaonya watu wanaohasimiana naye
kisiasa kuacha kumchafua Dk. Slaa kwa
kutumia jina lake katika mambo
wanayomtuhumu, kwa kile alichoeleza
kuwa ni dhambi kubwa kutunga uongo
na kuusambaza ili kutafuta huruma ya umma wa Watanzania. “Nadhani lengo lao hapa ni kumchafua
Dk. Slaa kwa tuhuma hizi za uongo
zilizotolewa kwa mara ya kwanza na
vijana waliotimuliwa Chadema kwa
kukisaliti chama na baadaye kuhongwa
na makada na viongozi wa CCM ambao wamejiunga nao sasa. “Sasa kwa tuhuma hizo, kwa nini
wasiripoti polisi, inaingiaje akilini mtu
kupanga njama kubwa kiasi hicho halafu
ukae kimya tu,” alisema Saanane.

CHANZO: Mtanzania

---- kama ukweli utausema mbona hakwenda kuusema polisi upuuzi mtupu
 
mi nakushangaa unanitukana,hujui mi ni baba yako,lakin sikushangai nlijuwa wakat namweka mama yako mimba ambayo ww ndye uliyezaliwa nilijuw tu atazaliwa mtoto akili imekaa kushoto kwasabu mama yako alikuw amelewa

Unashangaa nini sasa? Mbona usijishangae wewe kijana mdogo kukubali kubebeshwa Mimba na Mzee? Hivi ulibebeshewa Mikahawani au home Monduli? Tunaomba ufafanuzi hapa mkuu!
Wataalamu wa Uzazi wanasema mimba ya mtu Mzee sana utazaa mtoto Taahira na ukizingatia tena jinsi Mzee wako amekuwa anatetemeka sijui utakapo jifungua huyo mwana wake atakuaje.!?
 
Nashauri Chadema wamuachie Zitto kabwe awe Mwenyekiti kwasababu ndie mwenye uwezo kuliko Mbowe.

Mimi nasauri maccm wamwachie Zito Kabwe awe Mwenykiti kwasababu ndie mweyeuwezo kuliko Kikwete na maccm wote nampenda.
 
JGG Kha! Nawewe ni wakmshauri zzk! Mnauguwa kweli yaani amewashika pabaya na sakos yenu hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu JGG, Ninsaikitika kwamba watu munaendela kushabikia siasa za kifitina za Zito ndani ya CHADEMA, fitina za Zito zilisababisha CHADEMA ikose wabunge mkoa wa Kigoma isipokuwa yeye Zito tu, pia wagombea wa ubunge kupitia CHADEMA waliokuwa marafiki wa Zito kulikuwa na tetesi kuwa waliuza ushindi wa kwa maccm. Mfano ni: Mtela Mwampamba,Sambwee Shitambala, Habib Mchange, Wlson Ngambaku na orodha inaendeleea.......Zito ni mission ya maccm ndani ya CHAEMA ndiyo maaa mikutanoanayofanya kwa mogongo wa kuimrisha chama anafanya kivyakevyake kukiimalisha chama atakacho kimega kutoka CHADEMA.

I think the same way, sasa tujiulize ni kwanini mtu wa namna hii bado ni mwanachama? Kwa mawazo yangu ni kuwa kuna matatizo ya mfumo ktk CDM kwa maana kwa akili ya kawaida mtu km zito ambaye ana upeo wa kawaida kabisa asingeweza kufanya yote hayo na bado akaendelea kubaki CDM, simply the systems are weak, dysfunctional and insensitive
 
Zitto anasubiri hoja ya mgombea binafsi katika katiba mpya ili apeperuke na ndo maana anajitahid sana kujenga jina na sio chama.

Athubutu aone! hata ubunge tu bila kubebwa na chama atausikia kwenye bomba
 
Back
Top Bottom