SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Ha ha ha. Watu wanaangalia pesa ilipoWanamziki bongo wamehamia kwenye amapiano. Upepo wa regge ni kama upepo wa taarabu ulishapita.
Pesa au watu wanapenda kusikia miziki ya ujingujingHa ha ha. Watu wanaangalia pesa ilipo