Uhaba wa wanaume wa kuoa nchini Kenya

Uhaba wa wanaume wa kuoa nchini Kenya

babayao255

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Posts
13,618
Reaction score
36,475
Mwanamke mmoja nchini kenya ameonekana akiandamana Kutafuta mwanaume wa kumuoa bila masharti yoyote ili kumsitiri.
Anasema hajali umri, Pesa, Sura, Hadhi bora UHAI tu.

Wewe endelea kuuliza Namba yangu umeitoa wapi wakati wengine wanatamani kupata hizo namba ngeni.

Huku wengine mkiona raha kula nauli za wanaume...tena nasikia wengine siku hizi wanaishi kwa kula nauli za wanaume.
IMG_20210411_090331_242.JPG
 
Na sio huko Kenya tu. Hata hapa Tz hii tabia ya wanawake kukosa waume inaongezeka sana kwa miaka hii. Sehemu ninayofanyia kazi kuna wadada watatu washafikisha miaka 40 na hawana watoto wala wanaume, wamekuwa watu wa hasira hasira muda mwingi.

Kinachosababisha hali hii ni mmomonyoko wa maadili mema kwa hawa Dada zetu. Pia wamekuwa rahisi sana kugawa uroda unatongoza na unapewa jibu la kukubaliwa hapo kwa hapo. Nani atakuoa?.
 
Nipe namba zao pm mkuu,Kama vipi nimkule mmoja
 
Isaya 4:1
Nimesoma

Isaya 4:1 BHN​

Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
BHN: Biblia Habari Njema
Isaya 4:;1

Ndilo neno la Bwana,.
 
Na sio huko Kenya tu. Hata hapa Tz hii tabia ya wanawake kukosa waume inaongezeka sana kwa miaka hii. Sehemu ninayofanyia kazi kuna wadada watatu washafikisha miaka 40 na hawana watoto wala wanaume, wamekuwa watu wa hasira hasira muda mwingi.

Kinachosababisha hali hii ni mmomonyoko wa maadili mema kwa hawa Dada zetu. Pia wamekuwa rahisi sana kugawa uroda unatongoza na unapewa jibu la kukubaliwa hapo kwa hapo. Nani atakuoa?.
Mkizungushwa napo mnasema, jamanii hebu kama mtu unajiona huna ubavu wa kuoa bora ujisemee ukweli,mtu anajua hapa ni shoo shoo tuu kwani shin'ngapi..mtu ushasema ana stress unadhani atakuhangaisha si atakupa tuu.. aisee
 
Back
Top Bottom