Uhaba wa vijana watengeneza kucha

inabidi nijioshee tu mguu wangu mwenyewe .yani zamani walikuwa wanatufata hadi home wewe tu hata ukiamua kumpeleka room
Aisee...lakini sio wote wamepotea ee..wengine wapo ni wewe kuwatafuta tu
 
Kwa nini usioshe mwenyewe mpaka uoshwe? acheni uvivu, itafika sehemu hata kuzaa mtatafuta watu wa kubeba mimba badala yenu.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] acha utani mkuu
 
Kwa nini usioshe mwenyewe mpaka uoshwe? acheni uvivu, itafika sehemu hata kuzaa mtatafuta watu wa kubeba mimba badala yenu.
unajua massage ya mwili sehemu yoyote ni dawa ! sio mpaka uandikiwe na daktari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…