Inapatikana, changamoto ni waagizaji hawaagizi mzigo wa kutosha kutokana na bei yake.Hio kubwa ni elfu 12 size ya kati ni buku 10 na size ndogo ni buku 4
Double Kiki watu wanaigopa inawehusha mtaani yamezagaa makopo ya smart gin kwa wingi sanaa.Kama Arosto imekuzidia kunywa hata ...,Double kick fleva moja tu
double Kiki watu wanaigopa inawehusha mtaani yamezagaa makopo ya sart gin kwa wingi sanaa
Naijua Sana hiyo Ina ladha nzuri hainguzi mdomoni kama zingine shida IPO kwenye hangover yaani asubuhi nakuwa mkali Sana alafu nashindwaga hata kunywa majiUkionja hansonchoice hutojaribu takataka nyingine
Aisee vijana wanaangamia yaani asubuhi vijana wanafungua kinywa na geji (sungura)Asikwambie mtu, sasa hivi mtaani pombe ni smart gin. Unywaji wake na viroba hauna tofauti, mtu anapaki boda boda huku anaendelea kunywa mdogo mdogo.
Nzuri sana ukichanganya na zanzi
Sikuwa naijua, siku natafuta ya kuchamganyia muuzaji akaniambia jaribu hii ni nzuri na nikaipenda siku hiyo hiyo. Halafu sikujua kama ni ya TZKumbe unaijua au ujiichanganyia amarula ni bonge moja la Cocktail, sawa na Black &white uiwekee coka baridi hapo uko sehemu tulivu pembeni mbavu za mbuzi zimenakshiwa na limao pilipili na chumvi kidogo hapo ushapiga lita moja ya maji , yaanj ukianza saa sita kumi na moja kamili inakua jirani sana.
Nilikuona hapo Mboriko pub ,unApambnaMbona ipo aisee jana usiku nilikuwa bar moja hapa Dodoma, jamaa watatu meza ya pembeni yangu walikuwa wanakula hilo kubwa wakati mm nikila kale kasichana mdogo mdogo na mbuzi choma