Ugumu wa kudai deni kwa mkwe

Ugumu wa kudai deni kwa mkwe

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
1477952_10203091771467945_4118810862036675529_n.jpg

Kuna ukweli katika hili na ukitaka kufanya biashara katu usithubutu kuaminisha zaidi ndugu pengine kama unafanya hivyo uwe na usimamizi wa wewe mwenyewe kwa karibu zaidi. Utawezaje kumdai mkwe deni? Ndugu nao itaonekana huwajali, maana wanaona ni chao pia. Asiye ndugu rahisi kumwajibisha.
 
Back
Top Bottom