Taarifa zilizonifikia ni kwamba ndugu yetu,dadaa yetu 'Valentina' ni mgonjwa hivyo kama wanajamii wa CC na MMU tunaombwa kumkumbuka katika maombi Mungu amrejeshee afya njema.
Mungu akushushie uponyaji Valentina
CC; kiwatengu;shansarie;Bantu lady;chocs;Baba V;ladydoctor;excell;uran;sungura1980;miss changa;Judgment,DEMBA;
Mentor;mwallu;katavi;Husnyo;sosoliso;paloma;
Tembosa,@Kiwetangu Mwanyasi Bantu lady Ruttashobolwa strong ruler M.E.M.A Judgement charminglady na utafiti nashkur sana kwa sala zenu,kwasasa nimeanza kurecover
Pole sna na usiache kufanya aliokushauri doctor
Tembosa,@Kiwetangu Mwanyasi Bantu lady Ruttashobolwa strong ruler M.E.M.A Judgement charminglady na utafiti nashkur sana kwa sala zenu,kwasasa nimeanza kurecover
hata kamasijamentioniwa hapo juu vale ni my close friend acha nimtakie getwell bestito
Mungu akuponye uje kambini hapa JKT CC tunachunwa hapa si mchezo na hawa 😛hoto:😛hoto:
Bi dada unaendeleaje saizi,najua unajisikia kihindihindi kwa hayo madawa
Ule matunda kwa wingi. Ukiona yanakushinda niite tushauriane cha kufanya.
Mmh! Sema nikuite uje unsaidie kula
Tembosa,@Kiwetangu Mwanyasi Bantu lady Ruttashobolwa strong ruler M.E.M.A Judgement charminglady na utafiti nashkur sana kwa sala zenu,kwasasa nimeanza kurecover