Ugua pole Sweetlady

Kweli kabisa Mungi! Kule ni full stress+bp+kisukari+massive stroke+et al=APOLLO-INDIA.

Huku ni tofauti, manake tunajua mpaka vazi atakalovaa King'asti kesho hahaaaaaaaaaaa, huu ndo uzuri wa chitchat, hakuna ban wala onyo loh!
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaaaaa .................. hapo ndo umenoa kabisa, ukitaka kunichuna lazima unitumie M-PESA kwanza kama wanavyofanyaga sweetlady na Lily Flower

Hivi hapa nimesikia vibaya au ni upepo umepita na haya maneno.

Pole sweetlady kwa malaria Mungu atakuponya tu kazana na dozi umalize.

 
Last edited by a moderator:
Pole sana mke mwenza. Sasa Mungi, unaonaje mie nikamuwakilisha kwenye ile mitoko yetu ya kukuchuna? Badala ya dinner na biya, tunaanza na shopping.

Paw please do the needful NOW.
 
Last edited by a moderator:
Hivi hapa nimesikia vibaya au ni upepo umepita na haya maneno.

Pole sweetlady kwa malaria Mungu atakuponya tu kazana na dozi umalize.


Mpenzi ni upepo tu utapita mwaaa mwaaa mwaaaa mwaaaa mwaaa mwaaaa pokea mabusu my love afu thread zingine uwe unaziruka sawa bibie?
 
Unanitupa sana marejesho mama,mi nilishakwambia huyu Filipo huyu dawa yake na sisi tumuonyeshe mapenzi yetu ili aingie wivu wewe ukamuogopa unaona sasa...Copy: Filipo

haha hah hah hah! Aone nini Mkuu!? Kwani mimi ni malaria? Kwani mi ndiye ninayemuuma sweetlady!? Acha hizo Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Hata wewe una mashaka na mimi? Duh? Sina taarifa zozote za huyo bi shosti sweetlady. Nadhani Mungi ndiye anayetakiwa kufunguka zaidi!

Mkuu wangu usijali ni taarifa tu ya ugonjwa ndo naujua, mambo mengine una haki ya kumjibu shem wangu marejesho
 
Last edited by a moderator:
Pole sana sweetlady! Baraka za Mungu ziwe juu yako upate ahuweni na kupona pia!
 
Last edited by a moderator:
sweetlady pole mpenzi! Mwenyewe hapa najisikia homa inaninyemelea...sijakwambia. Nway Get Well Soon sweetheart! CHA MWISHO why umezima lifone lako?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…