Ugua pole Judgement

Pole sana mkuu
mungu ata kuponya!

 
Aisee! Sad news indeed

Pole sana Judgement! GWS!
 
Last edited by a moderator:
Judgement, pole sana. Mungu akuponye upesi urejee katika shughuli za Ujenzi Wa Taifa. Tunakuombea mkuu
 
Last edited by a moderator:
Siku nyingine useme unasikitika kutaarifu juu ya ajali. Ukiwa rais usije ukatangaza msiba huku unatabasamu kama mwafulani.
Habari wana Chit Chat, napenda kuwataarifu kwamba mwenzetu Judgement amepata ajali ya pikipiki siku ya ijumaa. Tumuombee apone haraka ili arejee kwenye mihangaiko yake ya kila siku.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…