miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Tehe...poa pm yangu siion ningekuomba tuhamie uko!
aya nimeiokota huku kariakoo
Tehe...poa pm yangu siion ningekuomba tuhamie uko!
mi cha msingi ujue kuni.....zingine mbwembwe
Du! Ni wewe umekomenti au kunamtu kakuingilia kwenye account yako.
ni mimi jamani kizuri kisfie
Tehe tehe...embu njuze mkuu huwez jua ukute ndo wake wema ao...maana wa uku ck iz wanavaa masweta maumbo hayaonekan wanaogopa dengu
Mimi kama mtaalamu wa mapenzi nawashauri wanaume weupe big no.
Mkitaka sababu nitawapa...
Mi napenda dem mweusi kbs ila natural one,tena awe mfupi aliyejazia aisee duh....
Aliyejazia nn?hahahah
Mimi kama mtaalamu wa mapenzi nawashauri wanaume weupe big no.
Mkitaka sababu nitawapa...
Hiki kitu nimeisikia kutoka kwa wanawake kadhaa, tatizo ni nini?
mi na alerg na wanaume weupe aisee
Wanaongea tu kwenye mitandao ukija mtaani asikuambie mtu wanawataka weupe.
Researcher mimi mwenyewe.
hahha,usimind bwn..kila mtu angewaza hivo..